Trump aliwahi kufungiwa kwenye mtandao wa X kipindi ukiwa unaitwa Twitter, Akaanizisha platform yake inayoitwa Truth kwasababu kwa kipindi hicho mtandao wa Twitter ulianza kuegemea zaidi maono ya Democrats, Hivyp watu wengi wenye sera za Republicans walipigwa BAN akiwemo Trump.
Baada ya Elon Musk kuinunua Twitter na kuiita X, Hali imebadilika, kuna uhuru wa kutoa maoni kwa pande zote Democrats na Republicans, Trump kajiridhisha na kuamua rasmi kurudi kwenye mtandao huo,
Siku ya Jana Trump alirudi rasmi kwenye mtandao huo kwa kuweka posts kadha zilizopata watazamaji wengi sana, Usiku wa kuamkia Leo, kulikuwa na interview ya Trump akihojiwa na Elon Musk.'
Kurudi kwa Trump kwenye tandao huu kumewachukiza sana Democtrats hasa vyombo vya habari kama CNN na timu nzima ya kampeni ya Kamala Harris, Walifanya jaribio la kutaka kuingilia mifumo, kwa dakika kadhaa za mwnzo space ilikuwa haipatikani, licha ya hivyo watu wengi hawakukata tamaa waliendelea kusubiri mitambo irekebishwe.
Mitambo ilipokaa sawa ni jumla ya watu milioni 1.3 walikuwa wanasikiliza interview.
Hadi sasa jumla ya watu waliosikiliza live interviewa na wanaoendelea kusikiliza nakala ya interview ni watu milioni 23 na hata siku haijaisha, walioview post ni milioni 167M, Ni rekodi kubwa sana.
Timu ya kampeni ya Kamala Harris imelaani hatua hio na kukemea ni uchochezi (Hate speech) na kuvunja demokrasia kwakuwa Trump yupo kinyume na mipango yao ikiwemo kuzuia wanaume waliobadili jinsia kutoshiriki michezo ya wanawake, Kuzibana shule zinazoshawishi watoto kubadili jinsia, kufunga mipaka na kuwarudisha maharamia zaidi ya milioni 20 walioingia bila vibali awamu ya Biden na Harris, n.k.
mara ya mwisho Trump alifungiwa kwenye mtandao huo wamiliki wakiwa ni wenye mrengo wa chama cha Democrats.