Trump hashindi, kigezo ni kilekile uzee

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
710
2,319
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.

Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa tayari kumpigia kura.

Kuna dalili kubwa Kamala Harris akawa Mgombea wa Democrat.

Ikitokea hivyo, Trump bye, bye.
 
Nimewaambia wakawa wanabisha.

Trump is the oldest in US history as of now. He’s old af.

Biden was just worse off.

Now Trumpy will face the music😀

Will be served the same cold dish.
 
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.

Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa tayari kumpigia kura.

Kuna dalili kubwa Kamala Harris akawa Mgombea wa Democrat.
Ikitokea hivyo, Trump bye, bye.
Trump atashinda saaaaana
 
Democrats waanze Sasa kuimba wimbo uleule , kwamba Trump ni mzee hafai kuongoza, mchezo kupokezana😅
 
Democrats inabidi wasimamishe jitu moja linaloweza kupambana na mineno michafu ya team Trump, Kamala hauwezi mziki wa team Trump na wakimpitisha itakuwa faida kwa Team Trump ingawa siasa za US hazitabiriki sometime
 
Nahisi mgombea atakuwa kamala Harris, na kuna uwezekano akambwaga bwana trump.. ngoja muda utasema ukweli
 
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.

Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa tayari kumpigia kura.

Kuna dalili kubwa Kamala Harris akawa Mgombea wa Democrat.

Ikitokea hivyo, Trump bye, bye.
We unadhani hao wanao vote wana akili kama zako
 
Safari hii hilo Dingi likishindwa litaanza kulialia "Stop the Steal" au safari limekomaa kisiasa baada ya kukoswa koswa kuuwawa?
 
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura.

Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa tayari kumpigia kura.

Kuna dalili kubwa Kamala Harris akawa Mgombea wa Democrat.

Ikitokea hivyo, Trump bye, bye.
Kaletewa moto, na Gen Z wameamka ghafla for kamala
 
Back
Top Bottom