kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,946
- 14,518
Trump ni mfanyabishara makubwa, siasa zake ni siasa za kibiashara zaidi, anaifahamu kuwa Urusi ni taifa lenye mali, nguvu na technology kubwa ya Kila kitu. Anajua kuwa Urusi ni kikwazo kwa Marekani na Ulaya kijeshi na kirasilimali, hivyo hawawezi kuitoa Ukraine ambayo ina utajiri mkubwa wa madini na ardhi ya kilimo.
Kama huwezi kumshinda basi ungana nae ili mle wote. Trump ameamua kuungana na Putin ili wale wote pale Ukraine na ikiwezekana Putin amruhusu trump aichukue Gaza (butter trade), chukua huko nami nichukue kule. Usiwasaidie waarabu kunipinga huku Gaza nami sintawasaidia wazungu akina macron wasikupinge huko Ukraine. Nigawie kioande huko Ukraine nichimbe madini ili kurudisha pesa zetu alizopoteza Biden kuwapa akina zelensky huko Ukraine. Trump anaona ni heri kumrejesha Putin kwenye G8 na mfumo wa Swift kuliko Putin na brics kuanzisha mfumo wao mwingine wa money transfer.
Trump na Putin ndio wababe wawili duniani,