technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,485
- 50,898
Nakubaliana na wewe lakini hii ingefanyika Africa ingeonekana ni tatizo lakini kwa vile ni marekani ni poa tu ..Kwa tunaomfahamu Jared Kushner hatuwezi kushangaa wala kuponda! Kijana yuko njema kichwani na ni good strategist.. Ana mchango mkubwa sana mpaka Trump kuingia Ikulu na ni moja ya watu wachache Trump anaowaamini 100%
Ishu sio kuwa na sifa au uwezo wa kufanya kazi hiyo! Yawezekana kuna watu hata elfu wenye uwezo wa kufanya hiyo kazi, but unapofanya uteuzi nyeti kama huo kuna vigezo vingine vya ziada;Nakubaliana na wewe lakini hii ingefanyika Africa ingeonekana ni tatizo lakini kwa vile ni marekani ni poa tu ..
Jiulize hivi marekani kuna wataaramu wangapi wenye uwezo wa kushika hizo nyadhifa?...
Kwanini iwe kwa ndugu tu ?......
Watu huwa wanajiongelea tu bila hata ya kufanya analysis.Kwa tunaomfahamu Jared Kushner hatuwezi kushangaa wala kuponda! Kijana yuko njema kichwani na ni good strategist.. Ana mchango mkubwa sana mpaka Trump kuingia Ikulu na ni moja ya watu wachache Trump anaowaamini 100%
Na wazungu pia wangeongea sana.Ingekua ngozi nyeusi yangeolewa mengine hata kama aliyeteuliwa ana vigezo.
tatizo weusi wezi sana. wakifanya hivyo hujilimbikizia mali na hawafuati sheria.Ingekua ngozi nyeusi yangeolewa mengine hata kama aliyeteuliwa ana vigezo.
Fisi anaposubiri mkono wa binadamu udondoke. Anapoona anatembea kushotokulia anasema " huo huo unadondoka" mara binadamu anaweka mikono mfukoni; fisi anaguna ayaaaaa!! Jamaa akianzaTime will tell, anguko kubwa LA Marekani limewadia
africa. mwingine hana uwezo hata wa kuongoza mke na watoto wake unashangaa ni mkuu wa majeshi ama anawekwa kwenye secta kubwa ambayo inayohitaji mtu makini sana tatizo la waaafrica ni uchu wa madaraka .............Nakubaliana na wewe lakini hii ingefanyika Africa ingeonekana ni tatizo lakini kwa vile ni marekani ni poa tu ..
Jiulize hivi marekani kuna wataaramu wangapi wenye uwezo wa kushika hizo nyadhifa?...
Kwanini iwe kwa ndugu tu ?......
Mbona sijaelewa umecoment nin....kateuliwa mke wew unasifia kijana...sasa tukuelewe vipKwa tunaomfahamu Jared Kushner hatuwezi kushangaa wala kuponda! Kijana yuko njema kichwani na ni good strategist.. Ana mchango mkubwa sana mpaka Trump kuingia Ikulu na ni moja ya watu wachache Trump anaowaamini 100%