Trump amteua demu/girlfriend wa mtoto wake kuwa balozi wa Ugiriki.

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
46,847
67,245
Rais wa Marekani anayesubiriwa kuapishiwa Donald Trump amemteua Kimberly Guilfoyle ambaye ni demu wa mtoto wake Don Junior kuwa balozi wa Marekani nchini Ugiriki.

Hata hivyo girlfriend huyo wa mtoto wake atahitaji kuthibitishwa na bunge la Seneti la Marekani kuwa balozi mteule.
 
La muhimu ni sifa zake kwenye hiyo kazi, sio kujua ni mke wanani, haki anao kama marekani
 
Rais wa Marekani anayesubiriwa kuapishiwa Donald Trump amemteua Kimberly Guilfoyle ambaye ni demu wa mtoto wake Don Junior kuwa balozi wa Marekani nchini Ugiriki.

Hata hivyo girlfriend huyo wa mtoto wake atahitaji kuthibitishwa na bunge la Seneti la Marekani kuwa balozi mteule.
Ameidharau sana Greece kama alivyoidharau France ambako amempeleka mkwe wake akawe balozi
 
Rais wa Marekani anayesubiriwa kuapishiwa Donald Trump amemteua Kimberly Guilfoyle ambaye ni demu wa mtoto wake Don Junior kuwa balozi wa Marekani nchini Ugiriki.

Hata hivyo girlfriend huyo wa mtoto wake atahitaji kuthibitishwa na bunge la Seneti la Marekani kuwa balozi mteule.
Trump ana matatizo ya afya ya akili,anaenda kuigawa america na hatomaliza awamu yake ya uongozi watamla kichwa.
 
Anaigawa kwa kumpa teuzi mkwe wake?
Kwa hiyo hujafikiria kwamba Samia kaigawa Tanzania kwa kumpa uteuzi mkwe wake?
Nyie ni nyumbu,sasa kwanini kutwa mnamtukana Samia,mara ili mara lile!! Kumbe mnajua hata taifa kubwa kama America wanametambua Rais anaweza kumpa madaraka hata mwanae,,

Mwaka 2025 Wanu Amiri anaenda kuwa PM.
 
Bogus.
 
Back
Top Bottom