Dr. Zaganza JF-Expert Member Jul 15, 2014 1,451 2,235 Monday at 9:59 AM #2 gubu hilo. Kuna taifa linachafua anga kwa mabomu kushinda America?
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,999 52,586 Monday at 10:01 AM #4 Huyu jamaa fala kabisa vita ya uchumi imemshinda
Yoda JF-Expert Member Jul 22, 2018 49,584 72,432 Monday at 10:03 AM Thread starter #5 ndege JOHN said: Huyu jamaa fala kabisa vita ya uchumi imemshinda Click to expand... Hata saa mbovu huwa inasema ukweli angalau mara moja kwa siku.
ndege JOHN said: Huyu jamaa fala kabisa vita ya uchumi imemshinda Click to expand... Hata saa mbovu huwa inasema ukweli angalau mara moja kwa siku.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 39,323 45,365 Monday at 10:23 AM #6 Wao wanachafua mara 100 zaidi kwa microplastics
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Dec 11, 2012 11,656 10,015 Monday at 11:48 AM #7 China lazima wamzalishe huyu jamaa.
Mi mi JF-Expert Member Jul 14, 2024 3,219 5,909 Monday at 11:53 AM #8 Hivi huyu mwehu China walimfanyaga kitu gani kibaya ?
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Dec 11, 2012 11,656 10,015 Monday at 2:57 PM #9 Mi mi said: Hivi huyu mwehu China walimfanyaga kitu gani kibaya ? Click to expand... Halitaki kuzidiwa angali limeshazidiwa
Mi mi said: Hivi huyu mwehu China walimfanyaga kitu gani kibaya ? Click to expand... Halitaki kuzidiwa angali limeshazidiwa
dem boy JF-Expert Member Nov 4, 2016 6,756 15,994 Monday at 8:09 PM #10 Yoda said: View attachment 3310800 Click to expand... LOKOLETRUMP KWENYE UBORA WAKE WA MIPASHO
felakuti JF-Expert Member Aug 16, 2024 1,084 1,844 Monday at 8:12 PM #11 Ameanza propaganda...kashindwa kwenye tariffs?