Basi zuri ni Tahmeed,nauli sina hakika lakini haizidi 100k,uwe na Passport ya karatasi au kitabu kama hutokaa muda mrefu,kitambulisho cha Mpiga kura au cha Uraia,sina hakika kuhusu kadi ya manjano, mi huwa napita na passport ya karatasi ile ya miezi 3.
Uwe na kama 200,000 hivi au 500,000 kwenda na kurudi bila gharama za malazi na chakula utakapokuwa Nairobi.
Ila Nairobi haina tofauti kubwa na Dsm,Zaidi ya mabadiliko ya Pesa.