ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,396
- 71,847
Aisee hii inanikimbusha wakati wa majadiliano ya wakandarasi wanajenga EACOP walisema watajenga vituo vya umeme wa Jua Ili kusukuma Mafuta Kwa upande wa Tanzania Kwa sababu hatuna umeme wa uhakika kulinganisha na Uganda hivyo Nchi imekosa hela za Mauzo ya umeme Kwa wamiliki wa Bomba.
Nilidhani ni hujuma kumbe wako sahihi na haya ndio matokeo yake inaonesha treni za umeme huku Africa zimeshindikana 👇👇
=========
Mkurugenzi Mkuu wa TRC Masanja Kadagosa amesema hatua hii ya kununua injini hizi za dizeli itahakikisha kwamba safari za reli ya kisasa SGR hazitatiziki panapokatika umeme.
Kadagosa amesema tayari kampuni moja ya Ulaya imeshatambuliwa kwa ajili ya kuzitengeneza injini hizo.
View: https://www.instagram.com/reel/DDkiSJvIOzD/?igsh=dnJ5cDVlaWNpZ28=
Hybrid Locomotives zinatumia Mafuta na umeme at par 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DDkZzxrNqUV/?igsh=cHVqZzNzdW85OWR2