Translater ipi unatumia katika kiganja chako free katika kuvinjari... Online

translator nzuri haipo, ila google translate ndo inafanya kazi bora, na ni bure

kuna muda nilikuwa natranslate subtitles mbalimbali kwenda kiswahili ndo nikagundua kiswahili hakijulikani kabisa

jaribu na chatgpt
Oooh nimepakua app yake free user ina limitation ya translation Kwa siku...
Chtgpt ipi nicheki for ma issues
 
Back
Top Bottom