kama hua unachek movies, kwenye scene za casino, kuna wale people wanacheza kamali on the table..
ss, wale jamaa wanaochezesha mchezo (wanakua wamevaa suti au kikoti kidogo, tai na shati jeupe) ndo dealers
NB: wanalipwa vzur mkuu, changamoto ni vishawishi tu si unajua tena "casino"