Ehee.......mtueleze tukija Dar tupiteje.........maana naona ishakuwa tabu.........
Wanawazoesha jinsi ya kutumia barabara mpya. Kutakuwa hamna kukata kulia mpaka kwenye sehemu maalum.Habari JF
Nimekutana na issue sijaielewa leo and I would like to share with you perhaps I am a bit out of the know.
Nimetoka Kinondoni hadi Magomeni Morocco nikataka kuingia kulia nipitie barabara ya Tandale Uzuri Traffic Police akanigomea na kunilazimisha niende hadi Magomeni Hospitali. Kufika Magomeni Hospital baada ya kusubiri kwenye foleni nikataka nikunje kuelekea Morogoro Road Traffic Police akanikatalia tena akinitaka ninyooshe nielekee Magomeni Mikumi.
Wakuu hili ni sahihi? Au busy hours huruhusiwi kukunja?
Ukifikia mbezi mwisho nipigie nije kukupokea gari huko hukoEhee.......mtueleze tukija Dar tupiteje.........maana naona ishakuwa tabu.........
Mkuu hizo alama mbona hazionekani kwa urahisi? Then ukikunjia pale Church hawaoni kuwa ndio wataongeza foleni zaidi?Polisi wapo sahihi.. njia ile kwa sasa ili uingie njia ua kulia ulipaswa kwanza uingie kulia kuna njia ya kupita ambayo unakuja tokea mbele ya geti la magomeni catholic church zen utakuwa kama unarudi ulikotoka na hapo kabla ya kituo cha mwendo kasi utakata kushoto kwenda tandale...
Pale mataa ya magomeni kama unaenda mikumi ni sahihi pia mana kwa njia za magari yaendayo kasi kama unakwenda manzese pale hukati kulia kama zamani
Nadhani bado kunachanganya sana.mkuu kutokea morocco hotel kuelekea tandale kuna alama ya no right turn huyo askari amekuhurumia sana vinginevyo angekuadhibu kuna alama fulani ya kijani inayoonyesha ni jinsi gani unaweza kutoka barabara ya kawawa kuelekea makanya yaani tandale yaani utaingia kushoto utazunguka kidogo kisha utakuja kutokea pale kwenye zile taa mpya zilipowekwa ......kuuliza si ujinga
Hahahaaa ukija nitafute nikupe maelekezo Preta
Ukifikia mbezi mwisho nipigie nije kukupokea gari huko huko
Usijali mrembo...ukija nitakuwa nakuendesha...you just have to fasten your seatbelt and enjoy the ride!Ehee.......mtueleze tukija Dar tupiteje.........maana naona ishakuwa tabu.........
Usijali mrembo...ukija nitakuwa nakuendesha...you just have to fasten your seatbelt and enjoy the ride!
mkuu kutokea morocco hotel kuelekea tandale kuna alama ya no right turn huyo askari amekuhurumia sana vinginevyo angekuadhibu kuna alama fulani ya kijani inayoonyesha ni jinsi gani unaweza kutoka barabara ya kawawa kuelekea makanya yaani tandale yaani utaingia kushoto utazunguka kidogo kisha utakuja kutokea pale kwenye zile taa mpya zilipowekwa ......kuuliza si ujinga
Na bado siku zitakapo wekwa fly over ndipo mtakapokoma ukikosea kidogo utalazimika kwenda mbali sana ili kurekebisha kosa lako.Mfate michoro na alama za barabara hapo kila siku watu wanapigwa faini zakutosha,