Kwanza kabla ya kununua GPS tracking devices lazima ufahamu unataka kufunga kwenye gari kwa sababu gani, unataka kufanya tracking peke yake au na kazi zingine za ziada kama kumonitor mafuta,kufahamu kama dereva kafunga mkanda au kuwa na uwezo wa kusikiliza mazumgumzo ya kwenye gari lako.Wanajukwaa nahitaji kujua wapi nitapata trackers hapa TZ kwaajili ya kufunga kwenye magari ili kufuatilia nyenendo za madereva. Nimejaribu ebay nimeona kuna za aina mbalimbali na bei tofauti tofauti (Link tracker | eBay) ila sijajua aina ipi ni nzuri na inafanyaje kazi. Kama kuna mwenye idea anipatie hii elimu
Asante kwa maelezo mazuri, nimefikilia tracking pekee, kujua tu gari liko wapiKwanza kabla ya kununua GPS tracking devices lazima ufahamu unataka kufunga kwenye gari kwa sababu gani, unataka kufanya tracking peke yake au na kazi zingine za ziada kama kumonitor mafuta,kufahamu kama dereva kafunga mkanda au kuwa na uwezo wa kusikiliza mazumgumzo ya kwenye gari lako.
Pia mazingira ambapo gari lako linafanyia kazi je mawasiliaono ya simu yapo vizuri au kama hayapo vzuri utahitaji kutumia satelite.na je hayo magari yanaoperate Tanzania tu au yanaenda roaming.
Kama una gari chache ningekushauri utafute makampuni yanayofunga hizo tracking.
Nayo pia ipo unaweza kufunga utepe maalum kwenye tank na ukajua mafuta yakiibiwa inakulete smsJe na jinsi ya kuzuia tajiri asijue kama umeiba mafuta?
Just PM and get in contact, isue itatatuliwaWanajukwaa nahitaji kujua wapi nitapata trackers hapa TZ kwaajili ya kufunga kwenye magari ili kufuatilia nyenendo za madereva. Nimejaribu ebay nimeona kuna za aina mbalimbali na bei tofauti tofauti (Link tracker | eBay) ila sijajua aina ipi ni nzuri na inafanyaje kazi. Kama kuna mwenye idea anipatie hii elimu
mmmh harufu ya kuibiwa.Nayo pia ipo unaweza kufunga utepe maalum kwenye tank na ukajua mafuta yakiibiwa inakulete sms
Na hiyo ndio kazi hasa ya elimu.Yaani hapa kuna watu wanahitaji hii elimu positively na wengine negatively..
Kuhusu mafuta njia kuu mbili zinatumika kwanza unaunganisha GPS tracking device na zile wire zinazoleta signal kutoka kwenye tank ya mafuta na njia ya pili unatoboa tank ya mafuta kwa juu then kuna kifaa kama bomba kitaalamu kinaitwa fuel probe unakidumbikiza huko kazi yake inakuwa kusoma kiasi cha mafuta kwenye tank, kifaa hiki kinaunganishwa na GPS tracking device.Nayo pia ipo unaweza kufunga utepe maalum kwenye tank na ukajua mafuta yakiibiwa inakulete sms