TOYOTA Premio inauzwa

Kwa uchumi wa sasa hiyo bei ifanyie review ili iendane na the real situation
 
Uchumi wako hauna uhusiano na bei za gari. Hiyo gari inaonekana ni imported ushuru 5m+, cif 3000 usd~6.5m+, port charges plus agency fee 1m+ so sio chin ya 12.5m-13.5m sasa ww unataka gari nzuri alafu unawaza uchumi si uachane nayo ununue inayokufaa
 
Ndio maana wengine tumemtakia mauzo mema...
 
...umesema vi
Uchumi wako hauna uhusiano na bei za gari. Hiyo gari inaonekana ni imported ushuru 5m+, cif 3000 usd~6.5m+, port charges plus agency fee 1m+ so sio chin ya 12.5m-13.5m sasa ww unataka gari nzuri alafu unawaza uchumi si uachane nayo ununue inayokufaa
Umesema vizuri, hiyo gari huwa naipenda Sana, kwa bei hiyo Ni reasonable kabisa, wakati ukifika nitanunua Premio, I know it nimendesha sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…