Toyota Porte kwa taxi mtandaoni.

mickybaba

Member
Dec 30, 2014
43
27
Ndugu zangu habari.
Baada ya baadhi ya shughuli zangu kwenda mrama nimeamua kufanya kazi ya taxi mtandaoni maarufu uber.
Sasa nimekuja hapa jukwaani kuomba ushauri kutokana na gari nitakalotumia. Gari langu ni toyota porte, namba DX cc 1490. Hii gari huwa naitumia kwa shughuli za hapa mjini na bado ipo vzr engine na hata body japo ina mikwazuzo ya kawaida.
Lengo langu la kwanza ni ndani ya mwaka hii gari ilete gari nyingine ambayo itakua na body ngumu zaidi ya hii. Sasa jamani kwa wazoefu naomba ushauri hizi gari zinahimili mikiki mikiki ya hizi kazi?
 
Uendeshaji wako tu mkuu , kama ni yako bas utaitunza vzr ila me naona ukimpa mtu kibarua hawatunzi gari

Na kama body ngumu ww nunua zile taxi za zamani ( carina au cresta) hah
Uendeshaji wako tu mkuu , kama ni yako bas utaitunza vzr ila me naona ukimpa mtu kibarua hawatunzi gari

Na kama body ngumu ww nunua zile taxi za zamani ( carina au cresta) haha
Nataka nikomae mwenyewe mkuu
 
Back
Top Bottom