Cathy Diwani
Senior Member
- Feb 13, 2016
- 120
- 184
10mln Uko juu sana punguza bei utauzaaHii gari iko sokoni jamani..10ml. Iko kwenye hali nzuri mnoo
Hongera sana MKUU kwa kutunza gari!...imeenda km ngapi?...Toyota Noah New Model namba B inauzwa. Iko kwenye hali nzuri sana,haidaiwi na ina vibali vyote. Bei 10m. Nimeitumia mimi mwenyewe kama private car. Haina tatizo lolote,naiuza ili nibadilishe gari. [View attachment 512000 View attachment 512001 View attachment 512002 View attachment 512004 View attachment 512006 ]512000[/ATTACH]
Pm kwa aliye serious tu.
Asante mkuu,karibuAise gari bado Nzuri Mungu akufanyie wepesi Mkuu upate mteja.
Asante mkuu,themanini elfu mkuu.Hongera sana MKUU kwa kutunza gari!...imeenda km ngapi?...
Gari iko kidatu morogoro mkuu. Jirani na hapa Kilombero sugar.Niikague wapi na lini halafu tuongee kiutu uzima.....mwisho wa mwezi karibu.
Toyota Noah New Model namba B inauzwa. Iko kwenye hali nzuri sana,haidaiwi na ina vibali vyote. Bei 10m. Nimeitumia mimi mwenyewe kama private car. Haina tatizo lolote,naiuza ili nibadilishe gari. [View attachment 512000 View attachment 512001 View attachment 512002 View attachment 512004 View attachment 512006 ]512000[/ATTACH]
Pm kwa aliye serious tu.
Gari ni nzima sana mkuu, haina tatizo lolote,nimeitumia 5yrs,imetembea km 89000. Iko Kidatu Morogoro na naitumia kwa mishe zangu za hapa town na kusafiri nje ya mji mara moja moja mkuu. Mkuu ukiihitaji unakuja na fundi wako aikague kila idara.Mbona nzuri sana bei hiyo? Una uhakika haina kilema chochote kweli? All in all, all the best Mkuu.
Mwambie na jirani yakoAise, ndinga kama mpya! Mi napita tu mkuu, ndo kwanza nna baiskeli but naamini wakati ukifika nitatembea nikiwa nimekaa
Hahaha,mbali sana mkuu.6m mkuuu mwaka mgumu huu
Uko mkoa gan mkuuHahaha,mbali sana mkuu.