rabiintocavel JF-Expert Member Jun 16, 2013 294 230 Apr 26, 2016 #1 Naomba msaada kwa mtu yoyote anayetumia toyota Crown athlete ikoje kwa matumizi na upatikanaji wa spea zake, fuel consumption, engine je kuagiza kutoka japan au kununua hapa hapa bongo kipi bora?
Naomba msaada kwa mtu yoyote anayetumia toyota Crown athlete ikoje kwa matumizi na upatikanaji wa spea zake, fuel consumption, engine je kuagiza kutoka japan au kununua hapa hapa bongo kipi bora?