CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,810
- 9,038
Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu;
1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya
2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge
3. Waongoza Watalii hawa ni makampuni ya kupeleka watalii porini na gari.
4. Maduka ya vinyago
5.Wamiliki wa mahoteli ya kitalii
6.Wauza vyakula au wasambazaji vyakula mahotelini.
7. Wakulima wanao lima vyakula na baadae vyakula vinapelekwa hotelini na vinapikwa na watalii wanakula.
Sasa nizungumzie point namba 7.
Wakulima wanao lima vyakuka au wanao zalisha vyakula mbali mbali vya kuliwa na watalii.
Hapo ndio kuna shida kubwa sana kwa sisi wabongo, na shida ni kwamba tumejikita kwenye Traditional crops pekee, yaani kilimo cha mazao ya kurithi, mazao yanayo limwa na kila mtu.
Juzi kati kuna Mzungu mmoua ni Mturuki yuko Zanzibar ana hoteli alinipigia simu sasa tukaongea sana akaahidi siku anakuja Arusha tuonane, Jana kaja Arusha kikazi tukaonana.
Mwekezaji analalamikia sana vyalula vinavyo limwa Tanzania kwa ajili ya watalii, kumbuka Watalii wana utamaduni wao wa vyakula wanavyo pendelea hasa matunda na Mboga mboga. Alilamikia sana kuhusu matunda sana, anasema Zanzibar yamejaa matikitiki maji tupu. matunda mengine kuyapata ni kazi au yakipatikana ni ghari sana au yaliyopo sio yanayo pendelewa ba wageni.
Tuliongea kuhusu matunda na mbogamboga hasa spice na Herbals.Matunda alio taja asilimia 99 yanatoka nje ya nchi.
TURUDI KWENYE POINT NO 7
Watanzania tuna shida mahali hasa linapo kuja swala la Ubunifu na kuangalia furusa.
Wakulima humu stories zao ni either Mahindi, Mihogo, Vitunguu, nyanya, Maharagwe na kadhalika. yaani mazao ya urithi yanayo limwa na kila mtu mtaani.
Sekita ya utalii upande wa vyakula sana inawafaidisha Wakenya, na South Africa.
South Africa ndio Exporter mkuu wa matunda Tanzania ambayo yanatumika sana hotelini.Upande wa Mboga mboga na Spice na angalau kuna Wazungu wameona furusa na wanalima hapa hapa Tanzania mboga mboga na Spice na Herbals, Iringa na Arusha.
Wakulima Wa Kibongo hatujui ni aina gani ya Matunda yanatumika au yanahitajika hoteli za kitalii kwa kiwango kikubwa, aina gani ya Mboga, aina gani ya Spice au Herbal, kama ni Uyoga ni aina gani ya uyoga.
Sio kila aina ya Matunda tunayo yajua yanatumika na wageni, hapana, sio kila aina ya Papai zinafagiliwa na wageni au sio kila aina ya Uyoga inafagiliwa.
Upande wa vyakula kuna shida sana kuna Changanoto sana ya upatikanaji. Matokeo yake unakuta wanaagiza Kenya kiasi na mzigo mkubwa South Africa.
Sio bure unakuta Mboga mboga na matunda yanayo liwa Hoteli za Kitaliu kule Hifadhi za Kusini yanatoka Arusha kwenye shamba la mzungu.
Sisi tumejikita sana na mazao ya urithi au traditional crops ambayo yanalimwa na kila mtu.
Mfano hivi nani anaweza shangaa Mimi kulima Mahindi? au mimi kulima maharagwe? hio si inalimwa na kila mtu hadi Wachawi kule vijijini wana mashamba ya mahindi na Maharagwe?
Tubadilike la sivyo sekita ya italii itawanufaisha kwa asilimia 90 wageni na sisi tutaendelea kumlalamikia Samia bure.