Kapanda mwenyewe
Kwenye kushuka hapo asije shuka na jokofu tu
Ni kweli kabisa
Ukimuona kobe juu ya mti, kapandishwa...
Mtoto juu ya jokofu...?[/QUOTE
Njaa
kaanza kupambana na maisha ya kusakanya angali mdogo huenda ni wa familia ya mabondeni
Uko sahihiWazazi wenye watoto wadogo, kuna haja ya kufunga certain kind of a chain nyuma ya vitu kama jokofu, flat screen TV, makabati and the like. Kuna ajali nyingi zinatokea majumbani kwa watoto kuangukiwa na vitu wanapojaribu kupanda. CHUKUA TAHADHARI.
Dalili za mvua ni mawingu