Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 56
- 84
Bima ya Afya ya Taifa wamezindua vifushi vipya ambapo kubwa ilikuwa ni kilio cha watanzania kuhusu toto afya kadi ambayo ilifutwa awali na kwasasa usajili utakuwa kama ifuatavyo
kama unataka kumsajili mtoto wako ambae sio mwanafunzi utalazimika kulipa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa mwaka
mfumo wa pili utakuwa ni kwa makundi ambapo watasajili kwa kiasi cha shilingi elf hamsini na nne, watasajiliwa kupitia shule za awali msingi na sekindari
swali hivi Nhif wanaona shida gani kubakia na bei ya elf hamsini na nne kwa watoto wote kuliko huu usumbufu ..