Freelancer Wakala JF-Expert Member Feb 6, 2016 1,193 828 Jan 19, 2017 #1 Haya! Leo katika PlanetBongo hiyo ndo Top 5 aliyoitaja Alawi Junior akianzia na namba 5 hadi 1.
princess ariana JF-Expert Member Aug 19, 2016 8,685 17,286 Jan 19, 2017 #2 Haya tumemsikia... TID Kamsahau
KING 360 JF-Expert Member Jun 30, 2016 3,002 5,191 Jan 19, 2017 #3 King kawekwa wapili kutoka mwisho hahaha anataka ligi uyu
Ibada ya kwanza JF-Expert Member Mar 21, 2013 3,282 1,809 Jan 19, 2017 #5 Mapovu said: Bonus. Baraka da price Click to expand... Tatizo mweusi sana
Prince Kunta JF-Expert Member Mar 27, 2014 22,794 28,891 Jan 19, 2017 #7 Ibada ya kwanza said: Tatizo mweusi sana Click to expand... Kwahyo hadi nyimbo zake nyeusi?
mzaramo JF-Expert Member Sep 4, 2006 6,371 5,183 Jan 20, 2017 #9 PAGAN said: Ali Kiba anafanya nini hapo? Click to expand... Hiyo list ya Alawi Junior. Na wewe tengeneza List yako uweke unaowapenda.
PAGAN said: Ali Kiba anafanya nini hapo? Click to expand... Hiyo list ya Alawi Junior. Na wewe tengeneza List yako uweke unaowapenda.
V Von Mo JF-Expert Member May 7, 2012 1,819 1,186 Jan 20, 2017 #10 Kabla ya Kuweka List wawe wanatoa Vigezo! Siyo unatoa listi hata Key Moja ya Kinanda hujui!
darren gold JF-Expert Member Jun 15, 2016 312 185 Jan 20, 2017 #11 Freelancer Wakala said: Haya! Leo katika PlanetBongo hiyo ndo Top 5 aliyoitaja Alawi Junior akianzia na namba 5 hadi 1. Click to expand... ndio nani huyu huyu alawi alawitiwa!
Freelancer Wakala said: Haya! Leo katika PlanetBongo hiyo ndo Top 5 aliyoitaja Alawi Junior akianzia na namba 5 hadi 1. Click to expand... ndio nani huyu huyu alawi alawitiwa!