Lugoba Investment Senior Member Dec 5, 2013 180 186 Jun 20, 2016 #1 Hili jengo sio bovu,ni zima kabisa na linatumika.....Ni mambo ya ubunifu tu
Mibas JF-Expert Member Apr 3, 2012 4,191 6,358 Jun 20, 2016 #2 Dah! Wahandisi wengine sijui wanawazaga nini wanapoandaa michoro yao.
Lugoba Investment Senior Member Dec 5, 2013 180 186 Jun 20, 2016 Thread starter #3 Nadhani ni kutaka kujitofautisha na wengine na kuonyesha utaalamu wao
Jane Lowassa JF-Expert Member May 10, 2016 4,899 8,896 Jun 20, 2016 #4 Sasa huko ndani watu si wanaanguka wakitembea?
R rongai JF-Expert Member Jan 27, 2014 460 340 Jun 20, 2016 #7 aiseee hiii ingekuwa pale kwa makonda angesha chukulia ujiko lifunjwe tena angekesha hapo na. waandishi wa habari kila siku.
aiseee hiii ingekuwa pale kwa makonda angesha chukulia ujiko lifunjwe tena angekesha hapo na. waandishi wa habari kila siku.
Lugoba Investment Senior Member Dec 5, 2013 180 186 Jun 20, 2016 Thread starter #8 Jane Lowassa said: Sasa huko ndani watu si wanaanguka wakitembea? Click to expand... Huo muonekano ni wa nje tu,ndani liko sawa watu wanafanya yao
Jane Lowassa said: Sasa huko ndani watu si wanaanguka wakitembea? Click to expand... Huo muonekano ni wa nje tu,ndani liko sawa watu wanafanya yao
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,262 Jun 20, 2016 #9 Lugoba Investment said: Hili jengo sio bovu,ni zima kabisa na linatumika.....Ni mambo ya ubunifu tu Click to expand... Linaniharibia sense yangu ya proportions.Najisikia kama nimeehuka vile.
Lugoba Investment said: Hili jengo sio bovu,ni zima kabisa na linatumika.....Ni mambo ya ubunifu tu Click to expand... Linaniharibia sense yangu ya proportions.Najisikia kama nimeehuka vile.
Lugoba Investment Senior Member Dec 5, 2013 180 186 Jun 20, 2016 Thread starter #10 SHIEKA said: Linaniharibia sense yangu ya proportions.Najisikia kama nimeehuka vile. Click to expand... Pole mkuu
SHIEKA said: Linaniharibia sense yangu ya proportions.Najisikia kama nimeehuka vile. Click to expand... Pole mkuu