Toleo maalum: Cheche za Fikra - the anatomy of an atomic option na Uhondo zaidi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,731
40,838
12112397_10153204256836156_4998639273210182373_n.jpg
 
Attachments

  • TOLEOMAALUM51.pdf
    1.8 MB · Views: 200
Lowassa ni superPower amefanya kampeni mara 4 katika uchaguzi wa mwaka huu,kura za mjini na vijijini anazo za kutosha,kumbuka huyu alikuwa ccm miezi 4 iliyopita.
 
Humjui mwanadamu wewe; ukishika ile kalamu kupiga kura utashangaa unampigia nani; utatoka unajiuliza.

Wewe sio mpiga kura hapa Tanzania endelea kula Burger huko Michigan mambo ya kupiga kura tuachieni sisi tulio bongo. Baada ya Dr Slaa kuingia mitini na wewe unatumika kama Kondomu, Peleka njaa zako huko Masaki na Lumumba. Stori zako za abunuasi hazina mashiko tena hapa. Unacheza ngoma usioijua wala kuisikia, ni sawa na kusikiliza radio bila ya sauti.
 
Humjui mwanadamu wewe; ukishika ile kalamu kupiga kura utashangaa unampigia nani; utatoka unajiuliza.

Wanadamu ambao wanajua fika kwamba kutokea uhuru mpaka leo hakuna maendeleo yoyote Tanzania wako ccm na hao wanaweza fanya maajabu kwa kumpa kura Lowassa just wait and see!!!!!
 
Wanadamu ambao wanajua fika kwamba kutokea uhuru mpaka leo hakuna maendeleo yoyote Tanzania wako ccm na hao wanaweza fanya maajabu kwa kumpa kura Lowassa just wait and see!!!!!

Kura atapata tu ola hazitatosha kumpeleka Ikulu.
 
Kura atapata tu ola hazitatosha kumpeleka Ikulu.

Kwa matazamo wako yaweza kuwa sawa, kwa mtazamo wangu Lowassa ndie Rais. Just wait for the outcome. Kama mna uhakika huo, kuna haja gani ya kukodisha vyombo vyote hivyo vya habari kwa siku moja (ref Makamba press), kuna haja gani ya kuzuia watu kusubiri matokeo? Kuna haja gani raisi wastaafu kuingia uwanjani? Mbaya zaidi, Mbaya zaidi hadi mmeamua kumsumbua mama maria Nyerere.

Haya yote niliyoyataja hapa hayaakisi confidence uliyonayo ya ushindi. Poor MMM, YOUR STATUS IN THIS FORUM HAS DROPPED DRASTICALLY, AND NEVER SHALL IT RETURN TO NORMAL!
 
Back
Top Bottom