Tohara kwa wanaume ina umuhimu sana?

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
Naona msisitizo sana wa watu wakiume kufanya circumcision kutoka madhehebu ya dini mbalimbali na pamoja na secta ya Afya hata mila za desturi za makabila mbalimbali

lakini swali ninalo lipata niumuhimu gani hasa wa kufanya tohara kwa wanaume
kwa slogan ya sasa wanasema inapunguza maambukizi ya ukimwi lakini ukiangalia nchi ambazo hawaweki kipaumbele suala hili wako chini sana kimaambukizi.

Kuna nchi kama Cape verde na Brazil issue za circumcision sio za lazima kabisa na nimekutana na jamaa watu wazima hadi wazee from those countries wana afya na hawaja tahiriwa na hawajivungi kwenye beach zao unawakuta wana vinjali wazi wazi kabisa.

je circumcision ni muhimu sanaaaaaa kiivyo.
 
Mkuu ukiangalia nchi za ki-Arabu ambako tohara ni muhimu kwa watoto wa kiume mpaka nchi za Africa Magharibi ambazo wa-Arabu walisafiri Enzi sa Songhai Empire kote tohara ni muhimu kutokana maelezo aliyopewa Abrahamu na Mwenyezi Mungu. Nchi nyingi za ki-Afrika tohara imekuwa sehemu ya utamaduni wetu bila kujalisha dini zetu. Niliwahi kuweka uzi nikahoji tohara ya wa-Kikuyu na wa-Masai ina uhusiano wowote na ujio wa wa-Arabu?

Kwa dini ya Kiislamu bila tohara wewe si msafi na huwezi kuweka ibada mbele ya Mwenyezi Mungu. Kwakweli mwanaume asiyepitia tohara kwangu binafsi nanamuona wa ajabu kwakuwa nimekulia katika mazingira haya, watoto wa kiume wote lazima wapitie tohara.
 
sasa ungekulia maeneo yasiyo na misisitizo hiyo ungeona kawaida ukienda cape verde au brazil sio issue kabisa
 
sasa ungekulia maeneo yasiyo na misisitizo hiyo ungeona kawaida ukienda cape verde au brazil sio issue kabisa
Ninadhani imekuwa sehemu ya culture na tamaduni. Ni kama vile wazungu wanavyofua pichu zote kwenye washing machine, pichu ya mama, baba, mkwe, watoto na wajukuu. Huku kwetu huwezi kuona pichu ya mkwe.
 

Sky;
Nimeipenda hiyooo! Dah! Yaani unatutambia hapa kuwa weye umewapitishia hao woote?? Si kina aterere si kina habari no, hadi Afrika ya magharibi. Mbona hukumsema Muhaya, Mungoni, Mujaluo?? Hapo hata mmoja hakuwahi?? Pole, ila sijikati ng'ooo. Ka ni kukukosa wewe tu, acha nikukose. Nilio waonjesha, huwa wakinikuta wanataka kunikamata kwa nguvu nikawarudie.
Nlidhani mtaandamana wanawake kwa kunyimwa haki yenu ya kukeketwa ambayo pia ni mila yetu mnakimbilia kuulizia vya kiume!!
 

Lakini mjomba mwenyezi mungu aliyemuumba kiumbe chake na kukipa viungo vyote mwilini Sisi Kama binadamu tuna haki gani ya kumkosoa muumba? Je mungu alikosea?
 
Lakini mjomba mwenyezi mungu aliyemuumba kiumbe chake na kukipa viungo vyote mwilini Sisi Kama binadamu tuna haki gani ya kumkosoa muumba? Je mungu alikosea?
Genesis 17 Wakati Abrahamu alipokuwa na umri wa miaka tisini na tisa, Mwenyezi-Mungu alimtokea, akamwambia "Mimi ni Mungu mwenye nguvu. Fuata mwongozo wangu na kuishi bila lawama. Nami nitafany agano nawe na kuwzidisha wazawa wako". Hapo Abrahamu akasujudu. Naye Mungu akamwambia "Nitafanya agano hili nawe: Utakuwa baba wa mataifa mengi. Tangu sasa, hutaitwa tena Abramu, bali utaitwa Abrahamu, maana niekufanya kuwa baba wa mataifa mengi. Nitakufanya uwe na wazawa wengi sana kwako nitazusha nitazusha mataifa mengi na wafalme. Nitalithibitisha agano langu nawe, wazawa wako na vizazi vyao vyote milele; tena nitakuwa Mungu wako na Mungu wa wazawa wako milele. Nitakupa wewe na wazawa wako nchi hii ambamo utaish kama mgeni; yaani nchi yote ya Kanaan iwe mali yenu milele; nami nitakuwa Mungu wao."

Kisha Mungu akamwambia Abrahamu, "Kwa upande wako, wewe utashika agano langu, wewe binafsi, wazawa wako na vizazi vyako vyote. Hili ndilo agano utakoloshika kati yang na wewe na wazawa wako, kila mwanaume miongoni mwenu lazima atahiriwe. Mtatahiri kwa kutaka magovi yenu na hii itakuwa alama ya agano kati yangu nanyi. Kila mtoto wa kiume wa siku nane lazima atahiriwe. Kila mwanaume katika vizazi vyenu, aliyezaliwa, aliye mtumwa au aliyenunuliwa kwa pesa. Naam kila mmoja lazima atahiriwe.
 
Tohara ya Kimasai ndo fashion kwa sasa.

Umuhimu wake,unawakuna vema jinsia ke.
 
Ikoje hiyo tohara ya kimasai?
Heshima kwako Mrembo. Staili ya Tohara ya Kimasai i ya tofauti kabisa. Dushe linaachiwa kining'izio kwa chini ambacho hutekenya sana kinapoingizwa ndani ya Papuchi.

Kutaka kuiona live na kuifanyia Practical na ujionee tofauti,nitafute.
 
Dah! Kwa jinsi ninavyong'ang'aniwa na wanawake wanaobahatika kunionja, aisee hata uniambie nini sikati!
Na ndiyo hasa mwenyezi mungu muumba Wa Yote alivyodisgn Hii kitu na ile kitu vikutane ! Halafu mwanadamu analeta ufundi wake! Uume origino..ndiyo Mwanamke anapata raha Sana akikutana na mtu asiyetahiriwa
 
Ole wake apunguzae kiungo au kujiongezea Hiyo ni kumkosoa Mungu,ingekua na umhimu Mungu angeumba iko na tohara kabisa.sitoi kovinda wangu radha itapungua
 
Dah! Kwa jinsi ninavyong'ang'aniwa na wanawake wanaobahatika kunionja, aisee hata uniambie nini sikati!
Mkuu kumbe na wewe wana kulilia kama mimi walio tailiwa kwanza hawapati raha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…