E eddy JF-Expert Member Dec 26, 2007 15,982 11,391 Mar 29, 2016 #1 Hana ni JPM na Lowasa wakiwa kanisani Azania Front, hizi ndio siasa safi, Mubarikiwe sana.
chipolopolo 2 JF-Expert Member Nov 10, 2014 3,292 1,841 Mar 29, 2016 #2 Safi sana nimemuona lowasa nimefarijika sana
BansenBurner JF-Expert Member Feb 16, 2015 6,810 5,769 Mar 29, 2016 #3 Magufuli alisali Azania front siku ya Jumapili ya Pasaka na Lowassa pasaka ya pili J3 akatoa shukrani na familia yake. Hawakua pamoja ibadani siku ya pasaka angalia Joho alilovaa Askofu Malasusa akiwa na Magufuli na joho alilovaa akiwa na Lowassa.
Magufuli alisali Azania front siku ya Jumapili ya Pasaka na Lowassa pasaka ya pili J3 akatoa shukrani na familia yake. Hawakua pamoja ibadani siku ya pasaka angalia Joho alilovaa Askofu Malasusa akiwa na Magufuli na joho alilovaa akiwa na Lowassa.