Tofauti ya Subaru XT na XS ni ipi?

Habari wana Jamii naomba msaidie tofauti ya Subaru XT na Subaru XS.

Asanteni!

Subaru XT ni ile yenye Turbo, utaoona ina pua kwenye bonet.

Subaru XS ni non turbo ( haina turbo) ila ni ina vikolombwezo kama alloy wheels, fog light na mziki mzuri...

Subaru X ni non turbo ila haina vikolombwezo....

Subaru Xs premium ina leather seats na sifa zote za Xs
 
Mmmmmmhmn sio XT zote zinakuja na option ya turbo mkuu. XT zipo ambazo zina turbo na zipo ambazo hazina.
 
Mmmmmmhmn hapana jembe. Nakwambia hivyo kwasababu nimeziona. Yenye turbo na isiyokuwa nayo na zote ni toleo moja.

Unajua turbo ni option na ni kikafaa tu kanaongezewa kwenye engine. So kutokuwapo haithiri engine kufanya kazi.

Nimeziona mkuu na nazifahamu.
 
Sidhan kama kuna XT ambayo haina turbo. Hata ukitafuta mtandaoni watakueleza hivyo. X naa XS ndizo haIna turbo
 
Back
Top Bottom