Tofauti ya masikini na tajiri Tanzania, hali ni mbaya jionee haya

delusions

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
5,003
1,279
Hili Ndo Life!
1.Safari ya miguu kwa maskini ni mateso tena
ugonjwa, ila kwa Tajiri ni zoezi tena tiba tosha.
2. Dagaa kwa maskini ni mlo wa maumivu ni
shida zinasababisha, ila kwa Tajiri ni chakula
cha kujenga mwili tena dawa.
2. Maskini akiwa na watoto watatu ataambiwa
ni laana anayo au ni kwa sababu anaogopa
gharama za maisha, ila Tajiri mtoto mmoja au
wawili ni uzazi wa mpango na usomi.
4. Neno zuri la hekima la maskini litaitwa
majivuno na makelele, Ila matusi ya tajiri
yataitwa utani!
5. Binti wa kike wa maskini akivaa nusu uchi
ataitwa malaya, ila wa tajiri ataitwa Miss au
Model..
KWENU HAYA YAPO?.
 
Hivi hizo tofauti za vipato kati ya matajiri na masikini huwa ni tanzania au ni suala la ki-dunia?

Kwa mtu anayeshughulisha ubongo wake huwezi kuleta mada za kishabiki kama hizi. Hili ni tatizo la mfumo mzima wa maisha hapa duniani kuihukumu tanzania kama nchi huo ni uonevu.
 
Back
Top Bottom