Tofauti kati ya vitukuu vya mzungu na vitukuu vya mtu mweusi. Miaka 137 iliyopita na leo

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
7,813
18,960
Mercedes benzi miaka 137 iliyopita na leo.
Mswahili akipanda miaka 137 iliyopita na leo.
FB_IMG_1713250777461.jpg
 
Hapo kuna watu wanalia na wengine wanawalaumu wazungu eti wao ndio wamesababisha tuwe nyuma 😆 😂
Inaumiza sana kuona hata wanaoiba mabilioni serikalini bado wananunua majembe ya mkono na kuwapa wafanyakazi wao badala ya tractors 🚜
Kwa hiyo usishangae sana kwani mchawi wa mtu mweusi ni wenyewe
 
Back
Top Bottom