asanteUsijiandae na manotisi maswali ya utumishi ni ya kimtego zaidi na maswali rahisi sana! Wale hawapimi uwezo wa kukarii wanapima uelewa wa mtu! Wewe ni mwalimu wa kemia maanake utaulizwa maswali ambayo ni yale yale ambayo unayajua lakini majibu utakayowapa wewe mpaka wewe mwenyewe utajishangaa baada ya kutoka kwenye chumba cha usaili! Kama ulikariri darasani ndo utajua hujui!
AsanteInterviews huwa hazina tips. Muhimu wewe jijengee confidence ukijua chochote kinaweza kutokea. Hii ya kupewa notes na kujisomea siyo sawa. Kimsingi waandaaji huwa wanauliza maswali ya maarifa/ufahamu ambayo hayahitaji kukariri. Be smart and prepare your brain!