Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,258
- 31,532
Kwa wale mnaopanga kwenda kuzamia Marekani na nchi nyingine,
Nitoe shukrani zangu kwa Mwana wa Mungu Trump, aliyeletwa kufungua macho ya watu. Naomba niwajuze, mkiwa mnapambana huko Mungu awafungue, muliamshe jiji lenu na mfanye maendeleo nchini mkiwa hukooo.
Kamata kamata ya Rais haijaja bahati mbaya. Leo hii, Watanzania walioko nje ukiwaleta ghafla, wanaweza kunywa sumu kama si Roho wa Bwana kuwapa tumaini la milele.
Na hii ni kwa kujisahau, ukidhani unaishia huko milele. Leo nimeona sehemu Wanaigeria wanakaribia kujaza ndege wakirejeshwa kwao.
Wakati wa Mungu ulio sahihi, hata kama uko kihalali, fanya hima uwekeze nyumbani. Fanyeni maendeleo nyumbani kwenu… kuna kesho!
Hujui kesho yako.
Na wale wanaoenda kufanya kazi kwa muda, amkeni na fanyeni hima muwekeze nchini kwenu.
Nawatakia kila la kheri wote mnaoishi kihalali na wasiokuwa kihalali nje ya nchi. Mungu akawape macho ya rohoni kuwajuza nilichowashauri.
Otherwise, wale ambao mtafanikiwa kurudi na ndege ya Hon. Trump, nawatakia safari njema pia.