The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 1,013
- 1,634
Timu Maalumu inayo ongozwa na Prosper Alexander Kisinini mwanasheria wa Serikali imetinga wilayani Mbarali kwa Mafunzo yaliyoandaliwa na wizara ya katiba na Sheria kwa lengo la kuwajengea uwezo watendaji wa serikali za mitaa pamoja na viongozi mbalimbali wilayani hapo ikiwa ni mwendelezo wa utowaji wa Elimu hiyo.
Mafunzo haya yanahusisha masuala ya uraia, Demokrasia, utawala bora,ulinzi na usalama na haki za Binadamu. Lengo kuu la mafunzo haya ni kuwasaidia viongozi hao na watendaji kuwa na uelewa na ufanisi katika kusimamia masuala ya kijamii na kisheria kwa manufaa ya jamii nzima.