Timu imejaa maveterani 😅halafu Jumba bovu kaangushiwa Master Gamond

Shanily

Senior Member
Nov 4, 2024
115
235
Yaani mambo ya nyuma mwiko ndo kama lile tukio la Madaktari wa Muhimbili, Mgonjwa wa kichwa wakampasua mguu na wa mguu wakampasua kichwa.

Timu imejaa wastaafu telee , badala waimarishe kikosi Chao walete vijana wenye Ari na nguvu mpya wameenda kumtoa kafara Gamond. Mechi ya Tabora kakosekana Bacca na Job watu wamejipigia , kama kungekuwa na vijana wengine wenye uwezo unaofanania wangerambishwa Asali!?.

Sasa aliyekuja afadhali ya aliyeondoka😅😅😅, yaani ndo kusema pipa na mfuniko.

Aliyesema nyuma mwiko wenye akili ni wawili tu Wala hakukosea😅.
Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini, mpanzu ndo huyooooooo kawaka sijui mtajificha wapi mwaka huu😂.
 
Unaongea hivi unajiamini kwa timu iliyo kupasua mara 4 na mara 5 inakuja soon utaishia kushika nafasi yako ya 3
20241103_155318.jpg
 
Yaani mambo ya nyuma mwiko ndo kama lile tukio la Madaktari wa Muhimbili, Mgonjwa wa kichwa wakampasua mguu na wa mguu wakampasua kichwa.

Timu imejaa wastaafu telee , badala waimarishe kikosi Chao walete vijana wenye Ari na nguvu mpya wameenda kumtoa kafara Gamond. Mechi ya Tabora kakosekana Bacca na Job watu wamejipigia , kama kungekuwa na vijana wengine wenye uwezo unaofanania wangerambishwa Asali!?.

Sasa aliyekuja afadhali ya aliyeondoka😅😅😅, yaani ndo kusema pipa na mfuniko.

Aliyesema nyuma mwiko wenye akili ni wawili tu Wala hakukosea😅.
Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini, mpanzu ndo huyooooooo kawaka sijui mtajificha wapi mwaka huu😂.
Ukiachilia mbali matokeo ya Azam na Tabora.

Sijaona timu yoyote iliyocheza mpira mwingi wa nguvu hali na kushambulia muda mwingi kuizidi Yanga.

Hata huyo Azam aliyeshinda moja muda mwingi alikuwa anashambuliwa na kupelekewa moto as if wao ndiyo wako pungufu.

Sasa propaganda zenu za uzee bakini nazo ukoloni huko.
 
Unaongea na vichwa vilivyojaza mavi alisema jamaa mmoja mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu na tafsiri ya mbumbumbu ni kwamba kichwani kumejaa mavi na sio ubongo..
 
Ukiachilia mbali matokeo ya Azam na Tabora.

Sijaona timu yoyote iliyocheza mpira mwingi wa nguvu hali na kushambulia muda mwingi kuizidi Yanga.

Hata huyo Azam aliyeshinda moja muda mwingi alikuwa anashambuliwa na kupelekewa moto as if wao ndiyo wako pungufu.

Sasa propaganda zenu za uzee bakini nazo ukoloni huko.
Hizo hizo propaganda za Ubaya ubwela Kampeni ndizo zimekupoteza ukamwacha Gamond. Umeacha uwanja wa azam complex na bado utapelekwa FIFA ukapimwe Mkojo. Mwaka huu tuna nyinyi mpaka msemeeeee.
 
Mimi simba ila sijaufurahia uamuzi wa Yanga kumfukuza gamondi

For what reason?
 
Hata wewe ungekua gamond usingeweza kuvumilia lazma ukeshe kitambaa cheupe kwa misongo ya mawazo. Ebu fikiria,
Mganga wa kienyeji anapewa fungu nono kuliko kocha kweli? Ndio maana gamond alikua anahasira kali mda wote.
img_1_1730588381369_1 (1).jpg
.
 
Hizo hizo propaganda za Ubaya ubwela Kampeni ndizo zimekupoteza ukamwacha Gamond. Umeacha uwanja wa azam complex na bado utapelekwa FIFA ukapimwe Mkojo. Mwaka huu tuna nyinyi mpaka msemeeeee.
Eti FIFA.

Makolo jengeni timu lenu.

Cheap propaganda kama hizi will not take you to anywhere.

Mpira ni mchezo wa wazi.
 
Pimbi nyieeeee.
Mlipokuwa mnaandika barua CAF kwamba Simba anapuliza dawa kwenye vyumba vya timu pinzani mlikuwa hamfanyi cheap propaganda? Maninaaaaaa zenuu, kweli nyuma mmechomekwa mwiko
 
Yaani wanamhaho Hawa nyuma mwiko , watulie dawa iwaingie. Wao si ndo walisema Fadlu hafiki December, Kiko wapi !?. Master ndo kaliwa kichwa😂
 
Eti FIFA.

Makolo jengeni timu lenu.

Cheap propaganda kama hizi will not take you to anywhere.

Mpira ni mchezo wa wazi.
Mshapoteana tayari sindano FC , mara uwanja mara kocha, yaani mpka mseme Bado hamjasema. Hersi nae ajiandae kuliwa kichwa.
 
Back
Top Bottom