Tigo pesa imerudisha menu tu mazinguzi bado pale pale

Hao jamaa bado wana-stress,😔😔,wanaharibu mipango ya watu bure bila kutoa sababu zozote zamaana.!
 
Tigo pesa wamerudisha menu ingalao unaziona lakini ukifuata maelekezo hadi kwenye kutumia pesa inazingua eti uulize huduma kwa wateja. Tigo pesa ilivyonifanya vibaya sina hamu

Leo wamenikwaza sanaaaa
 
Siweki hela za matumizi kwenye huduma za xpesa maana najua ni majanga.....pesa naweka ndani ya matumizi....kwenye xpesa ni kwa ajili ya kununua umeme na vocha tu.
 
Nimeshindwa kufanya manunuzi maana pesa yote ipo kwenye Tigo pesa. Vihela vyenyewe hivi unaweka kwenye simu ili ununue umeme, bia, chakula, petrol sasa walichonifanyia leo aisee Mungu anajua tu.
 
Nimeshindwa kufanya manunuzi maana pesa yote ipo kwenye Tigo pesa. Vihela vyenyewe hivi unaweka kwenye simu ili ununue umeme, bia, chakula, petrol sasa walichonifanyia leo aisee Mungu anajua tu.
Don't put all your eggs in one basket.
 
Wengine 90% tunalipwa kwa simu hamna namna lazima pesa ikae huko kabla ya kuhamishia benki.

Yes ni kweli ila inatakiwa ikiingia itoke fasta ,mitandao majanga ipo siku itakuja kukulaza njaa labda uwe na backup kwenye mitandao hata mitatu.
 
Mb 900 shilingi 2000/=
Tunaruxi kwenye primitive accumulation of capital.
Hii kweli ni kumsaidia Mtanzania au kuamua kabisa.
 
Tigo pesa wamerudisha menu ingalao unaziona lakini ukifuata maelekezo hadi kwenye kutumia pesa inazingua eti uulize huduma kwa wateja. Tigo pesa ilivyonifanya vibaya sina hamu
Wanatuzingua itabidi nasi tuwazingue!!!
 
Back
Top Bottom