mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,081
- 646
Chuo kina laini?Wenye laini za chuo
Basi labda laini yako haijachaguliwa.
Unauliza au unashangaa!Chuo kina laini?
Speed ni tatizo.Utapewa hata 10GB ila hakuna spead
Chuo kina laini?
Hapo sawaKina ugumu
Chuo kipi na mm nikanunue line hapo...Unauliza au unashangaa!
Nafikiri kuna baadhi ya namba wamezichangua sio zote.Chuo kipi na mm nikanunue line hapo...