Tigo mnakera kwenye huduma ya Internet

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,066
2,363
Yani kwenye Internet Tigo mnabore mpo slow sana hadi mnakera, yani mjirekebishe, yani hua nikitumia Airtel, Voda na Hata Halotel hakika naenjoy simu yangu kwenye Internet, hata nikiangalia youtube haigomigomi ila tuma line ya tigo uone unatamani kupiga simu chini kwa hasira, Tigo mjirekebishe,. Hizo ni salama kwenu
 
Changanyikeni wiki hii hakuna internet ukiwa huko ni bora uzime simu maana huwez Fanya chochote
 
Mkuu bado upo TiGo tu! Hamia Halotel Mkuu umechelewa sana, hutajutia internet ya hawa jamaa

Hapa nimeacha mb ki bao za tigo nimehami halotel yani inakamua balaa, nikiweka tigo natamani kupiga simu chini
 
me mbona natumia tigo na iko fresh,pengine labda location yako

Mkuu jaribu holatel Kama hujaiweka hiyo line yako bench.. Yani hasa ukiwa na shida ya net ndo unadhani wameamua, nipo hapa Mwenge DSM nimeona wanazengua nimechukua line ya halotel ni balaa ila Hapo nyuma nikiweka airtel wanakamua vizuri, kama huamini fungua youtube kwa tigo uone, alafu siku jaribu mitandao mingine
 
Week ya pili sasa sipati 3G kwny simu yangu, kwakweli Tigo mnapaswa kubadilika!
 
Hivi inakuaje binadam Wa karne hii unalalamika kila muda????..... Yani tupo kwenye soko huria kuna utitiri Wa mitandao inayotoa huduma bora za internet zaid ya huo mtandao wa tigo MTU analalamika tuuuuuuuuu....

Tuamke watanzania sio kulia... Mimi nilichukia hatua nipo halotel internet fresh..
 
TIGO SIWAELEWI WAKOJE YANI...WANA WATEJA WENGI LAKINI NDO KWANZA HUDUMA MBOVU KABISA..DUUH WANACHOSHA... MTU HUPATI 3G WIKI NZIMA LAKIN WAO WANACHUKULIA SIMPLE TU..UKIWAULIZA WANAKWAMBIA TUTALISHUGHULIKIA TATIZO LAKO LAKINI HAMNA KITU,....PUMBA KABISA :smash:
 
Tigo mnaweza kutueleza! Nipo katikati ya jiji tech inaonesha H+,baada ya dk inabadilika na kuwa 3G baadae E.The same spot Why!!.
 
Tigo mnaweza kutueleza! Nipo katikati ya jiji tech inaonesha H+,baada ya dk inabadilika na kuwa 3G baadae E.The same spot Why!!.

Same to me, the whole week sasa inaniandikia H+ or H...cjui tatizo nn kwa Tigo, then jamaa ni jeuri hawasemi kama kuna tatizo huko kwao
 
Mi nishaachana nao kitambo,, tigo natumia kupiga na msg tu,,intaneti natumia voda ipo fasta
 
Nadhani wakati mwingine ni aina ya simu unayotumia,maana natumia tigo na sijawahi kupata shida hiyo
 
Hivi inakuaje binadam Wa karne hii unalalamika kila muda????..... Yani tupo kwenye soko huria kuna utitiri Wa mitandao inayotoa huduma bora za internet zaid ya huo mtandao wa tigo MTU analalamika tuuuuuuuuu....

Tuamke watanzania sio kulia... Mimi nilichukia hatua nipo halotel internet fresh..

Kwa kutoa dukuduku lake ndo wengine wanamshauri wapi ahamie, vinginevyo utafanya kaz ya kubadili mitandao, kwa mfano mimi nina line ya Tigo, Airtel na zantel, kwakwel zote kwenye modem ni uchafu tu
Kwahiyo wewe ndo umenishauri nijiunge na halotel
Hapa ni sehem ya kushaurina ndg
 
Back
Top Bottom