FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,907
- 43,821
Si mmezima simu feki, mnafikiri waChina watakula wapi? Subiri wawaonyeshe kazi sasa, hadi mtandao wao sijui mtasema feki..hamna kitu hapo.
Tushajua jina kitamboMtandao wa simu utakaotumia nguzo kupitisha wire zake nchi nzima upo njiani.., hatua ya kwanza ya uzalishaji nguzo ndio upo kwenye maandalizi, zitatumika nguzo za zege. speed yake ya internet itakuwa ni sawa na kuhamishia movie kwenye flash disk.Made in China, jina kapuni kwa sasa
Kweli kabisa hapo hewa tuhamna kitu hapo.
hizo story tu.Si mmezima simu feki, mnafikiri waChina watakula wapi? Subiri wawaonyeshe kazi sasa, hadi mtandao wao sijui mtasema feki..
Unaitwa coco telMtandao wa simu utakaotumia nguzo kupitisha wire zake nchi nzima upo njiani.., hatua ya kwanza ya uzalishaji nguzo ndio upo kwenye maandalizi, zitatumika nguzo za zege. speed yake ya internet itakuwa ni sawa na kuhamishia movie kwenye flash disk.Made in China, jina kapuni kwa sasa
Mnona bado sana, Mbezi ipi hiyo..Nimeziona Mbezi beach wameanza weka nguzo
Kama ni kweli inawezekana ni Cootel wale jamaa wa CambodiaUnaitwa coco tel
Nadhani ni kurudi nyuma badala ya kwenda kama BRT na IKARUShamna kitu hapo.
Kwa sasa wired connection zina manufaa sana hasa kwa ishu za speed compared to wireless.., pia ina uwezo wa kuhudumia volume Kubwa zaidiNadhani ni kurudi nyuma badala ya kwenda kama BRT na IKARU
Sio mtaalamu saana kipande hiki kwahiyo si vema nikawa mbishi sana labda kama ingekuwa kwenye mambo yetu yaleKwa sasa wired connection zina manufaa sana hasa kwa ishu za speed compared to wireless.., pia ina uwezo wa kuhudumia volume Kubwa zaidi
Mwanga wewe mshana me na shida ya kujifunza magic nipe msaada nianze wapiSio mtaalamu saana kipande hiki kwahiyo si vema nikawa mbishi sana labda kama ingekuwa kwenye mambo yetu yale
Vyuo vipo kibao tu ndugu yanguMwanga wewe mshana me na shida ya kujifunza magic nipe msaada nianze wapi
Yeah, ndio maana mitandao mingi inaanza kutumia fibre optics kufanya network transmission. Wired network ni bora mara mia kuliko wireless connection especially in long range.Kwa sasa wired connection zina manufaa sana hasa kwa ishu za speed compared to wireless.., pia ina uwezo wa kuhudumia volume Kubwa zaidi
Mtandao wa simu utakaotumia nguzo kupitisha wire zake nchi nzima upo njiani.., hatua ya kwanza ya uzalishaji nguzo ndio upo kwenye maandalizi, zitatumika nguzo za zege. speed yake ya internet itakuwa ni sawa na kuhamishia movie kwenye flash disk.Made in China, jina kapuni kwa sasa
watz sie watu wa kudanganywa sanaa sijui kwanini? kuna mtu aliyetuaminisha kama pinda na mtandao wa halotel??? yaani mzee alikuwa mpaka anataka kulia jinsi anavyoutetea bungeni....ooh eti utakuwa ni mtandao wa bei rahisi ili wakulima waweze kumudu vocha....pili ooh eti halotel wataleta smart phone za bei rahisi original itakuwa haizidi elfu 60.... haya yakowapi????