mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
of course Zimbabwe kama mzungu angeendelea kuwepo, mashamba yangeendelea kulimwa na wazungu, ingekuwa nchi ya kwanza kwanza africa kwa uchumi na advancements. mugabe hakuwasaidia wazimbabwe.Tazama jinsi mchekeshaji wa Merekani Tiffany Haddish ashangazwa na maduka makubwa ya Kisasa yaliyopo Zimbabwe alipotembelea hivi karibuni
,aidha baadhi ya waafrika wamemjiajuu Tiffany kwamba alidhani Zimbabwe hakuna gloseries yani [supermarket] .Je ni kweli kwamba wamarekani bado wanaamini Afrika ni bara la giza halina maendeleo yoyote ???
Yesu anakuja kuwa makini na maneno yako, hatakunyakua.of course Zimbabwe kama mzungu angeendelea kuwepo, mashamba yangeendelea kulimwa na wazungu, ingekuwa nchi ya kwanza kwanza africa kwa uchumi na advancements. mugabe hakuwasaidia wazimbabwe.
kwa bahati mbaya ndiyo hivyo ilivyo, wazungu walikuwa wanalima kisasa, walikuwa wanaingiza pesa ya kigeni, uchumni wa zimbabwe ulikuwa mzuri sana, baada ya hapo wamekuwa subsistent farmers.Yesu anakuja kuwa makini na maneno yako, hatakunyakua.
hahahahahahahahhahahahahHakupata mchumba hapa Harare? Make alikuwa excited sana, by the way umbeya ndiyo inamsumbua alietoa Mada.
Infact, we Africans fought for independence while we didn't have any plan about post-independence.of course Zimbabwe kama mzungu angeendelea kuwepo, mashamba yangeendelea kulimwa na wazungu, ingekuwa nchi ya kwanza kwanza africa kwa uchumi na advancements. mugabe hakuwasaidia wazimbabwe
Hata Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuwafukuza wazungu.of course Zimbabwe kama mzungu angeendelea kuwepo, mashamba yangeendelea kulimwa na wazungu, ingekuwa nchi ya kwanza kwanza africa kwa uchumi na advancements. mugabe hakuwasaidia wazimbabwe.
Wamarekani asilimia kubwa hawana exposure na nchi nje ya yakwaoTazama jinsi mchekeshaji wa Merekani Tiffany Haddish ashangazwa na maduka makubwa ya Kisasa yaliyopo Zimbabwe alipotembelea hivi karibuni
,aidha baadhi ya waafrika wamemjiajuu Tiffany kwamba alidhani Zimbabwe hakuna gloseries yani [supermarket] .Je ni kweli kwamba wamarekani bado wanaamini Afrika ni bara la giza halina maendeleo yoyote ???
Haya ni matokeo ya matangazo ya vyombo vya habari vya Ulaya kuhusu Afrika. Wao wanaonyesha vita, umasikini uliokithiri etc. Matokeo yake, wakija huku wanashangaa kuona baadhi ya vitu walivyonavyo na huku vipo, tena vingine vya huku ni natural hasa kwenye vyakulaTazama jinsi mchekeshaji wa Merekani Tiffany Haddish ashangazwa na maduka makubwa ya Kisasa yaliyopo Zimbabwe alipotembelea hivi karibuni
,aidha baadhi ya waafrika wamemjiajuu Tiffany kwamba alidhani Zimbabwe hakuna gloseries yani [supermarket] .Je ni kweli kwamba wamarekani bado wanaamini Afrika ni bara la giza halina maendeleo yoyote ???