Tiffany ashangazwa na supermarket zimbabwe

mwakani naolewa

Senior Member
Jul 25, 2024
148
425
Tazama jinsi mchekeshaji wa Merekani Tiffany Haddish ashangazwa na maduka makubwa ya Kisasa yaliyopo Zimbabwe alipotembelea hivi karibuni
h​
,aidha baadhi ya waafrika wamemjiajuu Tiffany kwamba alidhani Zimbabwe hakuna gloseries yani [supermarket] .Je ni kweli kwamba wamarekani bado wanaamini Afrika ni bara la giza halina maendeleo yoyote ???
 
Nakumbuka 50cent alipotembelea Tanzania mwaka 2008 alishangaa pia ila alifurahi sana kuona Mahoteli makubwa na migahawa mikubwa Dar,alisema Dar kuna hotels kama zilizopo US tu,tofauti na walivyokua wakiaminishwa kuhusu Africa,

Hata World Cup ya South Africa,Wazungu wengi walishangaa kuona maendeleo ya South.
 
Tazama jinsi mchekeshaji wa Merekani Tiffany Haddish ashangazwa na maduka makubwa ya Kisasa yaliyopo Zimbabwe alipotembelea hivi karibuni
,aidha baadhi ya waafrika wamemjiajuu Tiffany kwamba alidhani Zimbabwe hakuna gloseries yani [supermarket] .Je ni kweli kwamba wamarekani bado wanaamini Afrika ni bara la giza halina maendeleo yoyote ???
of course Zimbabwe kama mzungu angeendelea kuwepo, mashamba yangeendelea kulimwa na wazungu, ingekuwa nchi ya kwanza kwanza africa kwa uchumi na advancements. mugabe hakuwasaidia wazimbabwe.
 
Yesu anakuja kuwa makini na maneno yako, hatakunyakua.
 
of course Zimbabwe kama mzungu angeendelea kuwepo, mashamba yangeendelea kulimwa na wazungu, ingekuwa nchi ya kwanza kwanza africa kwa uchumi na advancements. mugabe hakuwasaidia wazimbabwe.
Hata Nyerere alifanya makosa makubwa sana kuwafukuza wazungu.
Haya sasa leo tuna enda kuwaita waje kama wawekezaji mwisho wa siku wana chota wana enda kujenga kwao, wakati kama tangu kipindi kile wangebaki hapa hapa leo hii wangekuwa wamesha zaliana na kufanya hapa kama nyumbani so tungekuwa na akina Bakhressa wengi sana,wazungu matajiri wangetoa ajira kaa kujenga viwanda vikubwa kama south Afrika.
Sijui hata hawa akina mugabe na Nyerere walikuwa wana waza nini.
 
Tazama jinsi mchekeshaji wa Merekani Tiffany Haddish ashangazwa na maduka makubwa ya Kisasa yaliyopo Zimbabwe alipotembelea hivi karibuni
,aidha baadhi ya waafrika wamemjiajuu Tiffany kwamba alidhani Zimbabwe hakuna gloseries yani [supermarket] .Je ni kweli kwamba wamarekani bado wanaamini Afrika ni bara la giza halina maendeleo yoyote ???
Wamarekani asilimia kubwa hawana exposure na nchi nje ya yakwao
 
Tazama jinsi mchekeshaji wa Merekani Tiffany Haddish ashangazwa na maduka makubwa ya Kisasa yaliyopo Zimbabwe alipotembelea hivi karibuni
,aidha baadhi ya waafrika wamemjiajuu Tiffany kwamba alidhani Zimbabwe hakuna gloseries yani [supermarket] .Je ni kweli kwamba wamarekani bado wanaamini Afrika ni bara la giza halina maendeleo yoyote ???
Haya ni matokeo ya matangazo ya vyombo vya habari vya Ulaya kuhusu Afrika. Wao wanaonyesha vita, umasikini uliokithiri etc. Matokeo yake, wakija huku wanashangaa kuona baadhi ya vitu walivyonavyo na huku vipo, tena vingine vya huku ni natural hasa kwenye vyakula
 
Back
Top Bottom