Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,942
- 19,130
mkuu, mtu kama huyo ni mzima kweli?i got go to gym man......hahah nmecheka sana
Ha, ha, haaaaa dah kweli umelenga point sana mkuu yaani badala ya kupelekwa sober house kapelekwa gym au sio?hiyo ni attitude ya teja huyu tid bado anakula unga haina ubishi.
yani badala ya kumpeleka teja sober house unampeleka gym,
Si ndo hapo soda zenyewe kwangu mbinde kuacha. Sembuse yeye na ule hotuba ya kutungiwa.....vita ya madawa myFOOT!!!T.I.D alikua moja ya wasanii ninaowakubali hadi leo