Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,739
haa haa mkuu wewe ulichotewa toka mkombozi au za kwenye sandarusi?Amekuibia nini wewe mtu mwenyewe hata baiskeli ya miti huna toa uongo wako hapa
Amekuibia nini wewe mtu mwenyewe hata baiskeli ya miti huna toa uongo wako hapa
haa haa kama uadilifu ni kuchotewa mabilioni ya escrow, sawa. Vinginevyo huyu mama amejidhalilisha sana na uprofesa wake. Inaonekana hajui hata sheria ya utumishi wa viongozi wa umma!Tibaijuka ni mchapa kazi sana na ni muadilifu
Tibaijuka ni mchapa kazi sana na ni muadilifu
mtanivumilia wahusika.
kuanzia leo nawaweka wahaya kwenye number 2 ya wezi wakuu wa nchi hii. na nafasi ya tatu inashikiliwa na wakurya. mwizi number moja anajulikana. wakipata madaraka ya umma wanafikiria kuiba tu. nothing else. they are good in nothing.
lengo wajirekebishe.
kuanzia leo popote ninapowaona najua nimekutana ni mwizi.
Na huko alitumuliwaHuyu mama Tibaijuka alikuwa Habitat ofisi za Nairobi,hata huko alikuwa na kashfa ya ufisadi.
Amekuibia nini wewe mtu mwenyewe hata baiskeli ya miti huna toa uongo wako hapa