Kiwalani finest
Senior Member
- Jul 6, 2024
- 112
- 84
SIKU TUKIACHA KUOGOPANA
NA KUFAGILIA UJINGA
TUKAPEANA
MAKAVU LIVE BILA CHENGA
MACHAWA YAKAAIBIKA
SIKU HIYO ITAKUWA NDIYO MWANZO SAHIHI WA KUITOKOMEZA RUSHWA
NA KUUNYONGA
UNAFIKI
Nakumbuka Tarehe 13/03/2023
Professor Anna Kajumulo Tibaijuka
Ex Mtumishi wa Mashirika ya kimataifa
Ex Waziri wa Ardhi nyumba na Makazi
Ex Mbunge wa Muleba
Alisema
Mzee Kama Mimi hapa ,
Kama Kuna Jambo la kulisema nalisema .
Lakini nalisema Constractively nichangie
Lifanyiwe kazi
Vitu Kama hivyo
Mwisho wa kunukuu
Ndani ya Chama watu tunaogopana kuchanana live na hivyo ili kuepuka usichukiwe
Usitengwe
Tunalazimika kuishi maisha ya kinafiki ya kuushangilia Uongo huku Ukweli ukiwa wazi haujafichwa.
Tumekosa hofu ya Mungu na kumkaribisha Shetani ili kuifanya kazi yake ya kuuenzi na kuudumisha Unafiki .
Nakumbuka Tarehe 13/03/2025
Shekhe Othman Khamis Juma
Imam Masjid Mwinyiamani
Akitoa Darsa
Alisema
Mtu yeyote akimuogopa ( Mwenyezi ) Mungu inavyotakiwa hapa Duniani ( ajuwe ) kila kinachotisha kwake kinakuwa ni amani
Wanaomuogopa Mungu hawaogopi kitu kingine.
Mwisho wa kunukuu .
Katika Chama tunazo Ilani Katiba Kanuni miingozo na Taratibu
Ambazo zinataka
Wenye nacho
Na
Wasio nacho
Wawe sawa katika kutendewa haki kwa mujibu wa Maelekezo ya Maandiko.
Ila kutokana na nguvu ya Rushwa ichezayo na njaa za watu , watu wenyewe walio wengi wasiokuwa na uelewa mkubwa kuhusu Siasa wamejikuta wakijisogeza kwa Watoa Rushwa na kujichekesha chekesha wakiomba fursa ya kufanywa Machawa walau mkono uende kinywani.
Professor Anna Kajumulo Tibaijuka
Nakumbuka Tarehe 24/03/2025
Alisema
Carl Max Alisema Power makes law
Yaaani mwenye Mamlaka ndiye anaweka sheria pale
Mwisho wa kunukuu
Tunayaona haya mtu ananunua cheo kwa Rushwa
Hajuwi ilani Katiba Kanuni miingozo na Taratibu
Anaanza kutumia Machawa anapanga safu za Viongozi wengine ambao nao hawajuwi ilani Katiba Kanuni miingozo na Taratibu
Kisha mnunua cheo anaweka mazingira Safi ya kutokuwajibishwa kwa waliostahili kumuwajibisha
Anadumu kwenye Cheo Akiwa hajuwi lolote kuhusu cheo chenyewe Zaidi ya hisia zake binafsi.
Wenye njaa Kali wenye kuijuwa haki na wasioijuwa haki wote wanajisogeza kwa Mtoa Rushwa
Wanafanywa manamba
Kwa njaa tu wanaanza kufanya Vitendo vya hovyo vya kupinga Maandiko ya kimfumo because of hofu ya kutotaka kuukosa Ubwabwa wa dezo utokao kwa Mtoa Rushwa
Matokeo ya njaa na Uchawa kukifika nyakati za uchaguzi , watu wenye njaa Kali huanza kuhaha wakimtafuta mtu yeyote mwenye fedha Zaidi ili wamshawishi awe mgombea ijapo hajuwi ilani ya Chama Katiba Kanuni miingozo Wala Taratibu .
Hii ni sawa na kumuokota mtu mwenye kazi ya kuchinja nguruwe na kumfanya aswalishe msitini
🤔🤔🤔🤔
Tunaopaswa kuchukuwa hatua haya hatuyajuwi !?!?
Uzalendo wetu kwa nchi uko wapi !?
Ucha Mungu je !?!?
Je tumeshindwa kufikiri !?!?
Hivi tulipozaliwa hatukujikuta tuna kitu kinaitwa aibu !?!?
Professor Abubakar bin Zuber bin Ally Bin Mbwana
Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania
Akiwa katika usiku waLaillatul qadri
Nakumbuka Tarehe 28/03/2025
Alisema
Kufikiri tu kitambo kimoja
Saa moja
Ni Bora
Mtume (Mohammad) SAW Amesema
Kuliko ibada ya Mwaka mzima .
Kufikiri
Mwisho wa kunukuu
Shekhe Othman Khamis Juma
Nakumbuka Tarehe 12/03/2025
Alisema
Bwana Mtume ( Mohammad SAW)
Alikuwa Mwalimu
Mwalimu wa Viumbe
Mwisho wa kunukuu
Ikiwa kizazi hiki tulifundishwa na Mtume kuhusu kufikiri na Bado tunamgomea Mtume
Je , hivi Kweli tunastahili kuwa wafuasi wa Nani !?!?
Tukiitwa Makafiri tunaonewa !?!??
Tunajifanya Kama tunatenda wema huku tukiikimbia haki na kuiendea Batili
Shekhe Othman Khamis Juma
Nakumbuka Tarehe 12/03/2025
Alisema
Haja yangu tuelewane. Jinsi ile anavyosema ( Mwenyezi) Mungu .
Watu waliokufuru amaal zao ni Kama mazigazi ya Jangwani .
Mwenye kiu( Akiwa Jangwani) huwa anadhani Yale( mazigazi kuwa) ni maji.
Na Makafir nao wanatenda kheri Mara nyingine
Msidhani Makafiri Hawana kheri watendayo
Wanatenda ( kheri)
Mola anasema kheri zao ( hao Makafiri) wanazozifanya
Zinafanana Kama mazigazi ya Jangwani
Ni kheri lakini ni kama Mazigazi ya Jangwani .
( Mtu ) Mwenye kiu ( Akiwa Jangwani) huwa (anaona mazigazi) anadhani Yale ni maji .
Na Roho yake inatamani kuona kuwa nimeona maji
Mpaka (Mtu yule aliyekufuru ) akiyaendea hayo aliyodhani kuwa ni maji hakuti kitu
Hakuti kitu
Siyo hamna kitu
Hakuti kitu
Mwisho wa kunukuu
Nyakati za chaguzi
Watu wenye njaa wenye uelewa Duni na wa hovyo ulio na kufuru ndani yake huendea watu Aina ya mazigazi wadhani watasaidiwa ila baada ya chaguzi hukipata Cha mtema kuni .
Tuwakate watu Aina ya mazigazi wasiojuwa ilani Katiba Kanuni miingozo na Taratibu.
Tuache kuaminishwa kuwa Mwenye fedha mtoa Rushwa ndiye kiongozi
Tufikiri Kama tulivyoambiwa na Bwana Mtume Mohammad SAW tuache hasira zetu za kurithi za kijinga tuuendee Ukweli.
Shekhe Muharram Rashid Mziwanda akitoa Mawaidha
Nakumbuka Tarehe 06/04/2025
Alisema
Dini yetu agizo lililokuja ni kupatanisha na kuwaunganisha watu .
Ndiyo uislam
Sasa ( Ajabu ) mnaacha kufanya ( kile ) mlicho amrishwa na Allah mnafanya ambacho Allah kakukatazeni
Mwisho wa kunukuu
Haki za watu zimo ndani ya ilani Katiba Kanuni miingozo na Taratibu halali zisizo na ubatili
Sisi tunawawekea zengwe wenye kustahili na kuwapa wasio stahili na kisha kuwapa Ulinzi wa kuto kuwachukulia hatua halafu kwa Unafiki tu ili kuficha fitna zetu tunajifanya tuko karibu na watumishi wa Mwenyezi Mungu ili utapeli wetu uaminiwe na Jamii tuipendayo kuitapeli ikiwa imejawa na watu wasioelewa mifumo wenye kuchekea hata Mambo ya hovyo yasiyo stahili kuchekewa.
Professor Anna Kajumulo Tibaijuka
Nakumbuka Tarehe 24/03/2025
Alisema
Huwa nasema kila saa Tujisahihishe
Sasa mtu Mwenye hasira anawezaje akajisahihisha !?!
Mwisho wa kunukuu
Watu wababaifu wa hovyo
Wenye njaa hutanguliza Maslahi binafsi kuliko Uzalendo na utu .
Mgombea huyu
Akipata cheo huishi akiongoza kwa kutumia Hisia binafsi zilindwazo na nguvu ya Rushwa pamoja na Unafiki wa wale wasiojielewa waliomshawishi kugombea huku Akiwa Hana sifa za kuwa mgombea.
Kiongozi huyo akiishiwa
Halafu akawa Bado Yuko Madarakani , Machawa humchukia na kumuanzishia zengwe ili iwe Kama kianzio Cha kutengeneza bifu ili watumie bifu Hilo kutafuta ATM nyingine itakayogombea ili iendeleze ulishwaji wao wa Ubwabwa na posho za Buku Jero .
Na tukumbuke
Chama Ndicho huomba ridhaa kwa Wananchi
Kikikubaliwa huchaguliwa na Kisha kuunda Serikali ambayo Mara nyingi huwa Ina Wasomi na Wataalamu .
Sasa
Wasomi Hawa
Hulazimika kuishi maisha ya manyanyaso huku wakipokea Maelekezo kutoka kwa Viongozi waliotoa Rushwa kununua vyeo
Hali hizi haziko sahihi
Ndizo vyanzo vikuu vinavyodumaza Maendeleo ya nchi kwa sababu Mtoa Rushwa kununua chro anathaminiwa na kusikilizwa na Kupewa ulinzi kuliko Mtu mkweli anayekijuwa Chama aliyesoma ilani Katiba Kanuni miingozo na Taratibu za kimfumo na kuzihifadhi.
Nini kifanyike
Elimu ya vitabu vya kimfumo isambazwe
Watu wajengewe kujielewa na kujithamini
Waelezwe madhara yakufanywa Machawa yasiyoruhusiwa kutoa fikra Zaidi ya kuitikia ndiyooooo kana kwamba vichwa vimekatwa
Waelezwe Maana neno Ujinga na Wajitafakari hayo wafanyayo.
Watu wapewe Elimu ya kuchukia upandikizwaji wa Mambo ya kijinga huku wakiwa wanaona ni ya kijinga jinga na bada wanashawishika.
Askofu Almachius Rweyongeza
Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga
Akiwa katika Maadhimisho ya Uaskofu wa Askofu Method kilaini
Katika Uwepo wa Waziri Mkuu
Nakumbuka Tarehe 20/03/2025
Alisema
Tulipopata Uhuru wa Bendera Mwaka 1961
Baba wa Taifa ( Mwl Julius kambarage Nyerere) alikuwa na mtihani Bado wa kupiga Vita Maadui watatu
Mnawafahamu
( Ni ) Ujinga
Umaskini
Na maradhi
( Tujiulize ) je tumefanikiwa kwa kiwango gani kupiga Vita Maadui hao !?!?
Kuhusu Adui Ujinga
Tutafakari tu ya adui Ujinga .
Ukitaka kumdhibiti vizuri adui Mpaka ( adui mwenywe) umfahamu
Usipomfahamu ( Adui yule ) anakumaliza
Fahamu ratiba zake
Mienendo yake
Namna yake ya kula..
Na Nini ..
Umfahamu (adui) vizuri .
Sijuwi Kama adui huyu Ujinga tumemfahamu.
Mwisho wa kunukuu
Wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi
Rais wa TLS
Nakumbuka Tarehe 08/04/2025
Alisema
Sisi Tls tunaamini kwamba
Kila hoja inayopigiwa kelele Ina mantiki
Ni lazima ipate ufumbuzi wa kitaalamu .
Na ufumbuzi huo hauwezi kupatikana kwa kila mmoja kukwepa Wajibu
Mwisho wa kunukuu
Wakili Othman Masoud
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar
Ex Mwanasheria Mkuu
Nakumbuka Tarehe 08/04/2025
Alisema
Jamani Mambo mengine ebu tukae tuyafikiri
Mwisho wa kunukuu
Pawepo Uwajibikaji usioangalia Hali ya mwenye nacho na asiyenacho
Tajiri
Kwa
Maskini
Nyakati tulizomo
Mtu anaadhibiwa kwa kuangaliwa Hali yake au Mitazamo yake ilikinzana na Waadhibuji.
Hili haliko sawa kwani Viongozi walkkula Viapo vya kutokuwa
Wabaguzi Wala wapendeleaji
Tumefikia pabaya pa kushangilia na kucheza danci tunaposikia fukara au mtumishi wa umma akiwajibishwa huku tukifumba macho kwa Watoa Rushwa kununua vyeo huku tuwalazimisha Mafukara wawashangilie wakisaidiana na Michawa ipendanayo Kwenye kufanya maovu.
Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi
Katibu Mkuu CCM Taifa
Akiwa Msibani kwa Padre Shirima Canute huko Uru Seminary
Nakumbuka Tarehe 21/03/2025
Alisema
Kama Kuna kitu tulijifunza kwa father ( Shirima Canute) ni nidhamu na Uwajibikaji
Hamna mtu yeyote aliyesoma Seminary kipindi Chetu ambaye anaweza kusema hajanufaika na Mafunzo kuhusu Nidhamu na Uwajibikaji
Mwisho wa kunukuu
Nikashtuka Ndotoni katika ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni nikiwa sijielewi nikisema sema hovyo tuchezee vyote ila tujiepushe na kula Kiapo tukijifanya tuna imani kwa Mwenyezi Mungu huku Matendo yetu yakitupa za chembe na kutufanya kuonekana watumishi wa Shetani
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa Kahinga