OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,622
- 11,680
Hellow wakuu mpo?
Hakuna asiyeyafahamu maziwa, kila mtu anayajua maziwa ni lishe muhimu kwa binadamu sababu yana virutibisho vyote muhimu. Yanaponya maradhi mbali mbali na kuua sumu yeyote mwilini.
Je wajua maziwa fresh yanaweza kutatua changamoto mbali mbali za kimaisha ikiwemo kusafisha mwili, kuua mikosi, kukuongezea mvuto, kukupa mme au mke umtakae na hata kuimarisha uchumi wako?
Omoyogeane nakuletea experience na elimu adimu ambayo huwezi ipata popote
Chakufanya ni kuchukua maji ya kuoga maji baridi namaanisha yasiwe ya uvugu uvugu kisha unamimina maziwa kiasi kidogo kama hapo juu pichani,
Matumizi yake ni kuoga
Kabla ya kuoga unanuia mambo yote unayotaka kisha unaoga.
(Usiogee sabuni).
Hakuna likitation yeyote ya kuoga ukiweza unaweza ogea maziwa kila siku.
Kuna siri nzito kwenye maziwa
Nawasilisha.