Thread Ya Chai: Tupe Story Uliyowahi Kuisikia - hapa JF au pengne - ukajisemea Mmmh hii ni fix, ila iko kitaalam sana

Chapati Tatu

JF-Expert Member
Apr 23, 2024
311
705
Vijiweni, maofisini au popote tunapokutana na watu tofauti tofauti kila siku kwa nyakati tofauti huwa kuna wakati tunakutana na watu - hata washkaji zetu wenyewe - wanatupa story kuhusu mambo mengi waliyowahi kupitia, kuona au kusikia.
Kuna ile siku mshkaji wako wa kila siku kabisaaa anakupigia story unajaribu kuisikiliza, kuielewa, kuichanganua na kuichenjua mpaka unafika mahali unajisemea mmmmhh HII CHAI KABISA HII.
.
Tuwekee hapa chini tuenjoy nayo wikiend hii.
 
Kerege ccm paleee jamaa kagongwa na gari kichwa kimekatika.
Ehee mara kichwa kikaamua kikaanza kulikimbiza gari.dereva kila akiangalia side mirror anaona kichwa hichi hapa.
Hii chai sijawahi kuikubali japo mwamba ana niambia ilikuwa kweli
 
Back
Top Bottom