Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,980
- 13,760
Kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump ( Executive Orders) kuzuia fedha zote za misaada zilizokuwa zinatolewa na serikali ya Marekani kupitia baadhi ya taasisi zake ikiwemo taasisi ya misaada ya Marekani ( United States Agency for Development – US-AID), Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa uamuzi huo umekuja ghafla.
Ambapo wameeleza kwamba kitendo cha kuzuiwa kwa fedha ambazo zilikuwa zimeshaingizwa kwenye utekelezaji ni kukiuka misingi ya utawala bora,
Aidha amesema kuwa katika utafiti wa awali wanebaini uwepo wa athari za uamuzi huo katika sekta mbalimbali nchini ikiwemo asasi za kiraia (CSOs).
Kupitia tamko ambalo limetolewa na THRDC pamoja East African Human Rights Institute leo February 10, 2025 wameeleza yafuatayo.