Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
wakenya mnapenda udaku sana kuliko mada . Toa upumbavu wako hapa, unaabisha wakenya
acha mawazo ya kitumwa hayo, kingereza ni lugha ya wakoloni kwa ajili ya kuwatwala malofa kama nyie ili mjione kama wazungu kumbe ni machokoraa.yaani mnamwaga povu kwel kwel...yaani yule ni chkora ana koroga Kiingereza utafikiri amesoma mpaka chuo kikuu kule Uingereza...lakini njoo kwa mtanzania ndio utaona mazingaombwe....hata sentensi moja tu taabu...hata rais mwenyewe nilishtuka jamaa haelewi...hivi niwaulize mnafunzwa Kemia yaani Chemistry na lugha ipi?
geza nakuheshimu, acha kuonyesha upumbavu wako hapa.Hamjui Kiingereza wala Kiswahili
punguza povu isije ikakunyonga....ama pelekea nyanyako ule mashambani LDC...acha mawazo ya kitumwa hayo, kingereza ni lugha ya wakoloni kwa ajili ya kuwatwala malofa kama nyie ili mjione kama wazungu kumbe ni machokoraa.
Haya sawa nimekuelewa. Mpeni fursa dogo aache kuwa chokoraa. Nilidhani kwa vile anajua kiingereza sana hatakuwa huko. Mtoeni
We ndo Wa mjini kujua kingereza.yaani mnamwaga povu kwel kwel...yaani yule ni chkora ana koroga Kiingereza utafikiri amesoma mpaka chuo kikuu kule Uingereza...lakini njoo kwa mtanzania ndio utaona mazingaombwe....hata sentensi moja tu taabu...hata rais mwenyewe nilishtuka jamaa haelewi...hivi niwaulize mnafunzwa Kemia yaani Chemistry na lugha ipi? washamba wa East Africa
mkenya wa mashambani takukorogea Kiingereza uskie...dah njoo tu kwa mtz...aibu iliyoje...mpaka wasanii kama Platnumz...We ndo Wa mjini kujua kingereza.
Acha upumbavu mkenya.