This is serious , I'm looking for Job

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
A young boy of 22 years old with Good Communication skills and hard working, fluent in English and Kiswahili, Experience in computer, internet and email, ability to work without close supervisor and speed reading and writing is looking a job as Sales man,Gardener, office assistant, cleaners and fumigation man, Call 0652384655
 
umesema ww ni experienced in computer, internet and email, ukishasema computer basi hapo umeweka neno jumla kwa maana hyo hukutakia kusema tena email na internet!! alafu hyo speed reading and writing sijui ulitaka kumaanisha nn!! jipange vizur muda mwingine ulichokiandika tu kinaweza kumpa mashaka yule anayetaka kukuajiri
 
Aisee sawa, but nmemaanisha nina speed ya kuandika na kusoma, sisomi km ngumbaru
 
fumigation mtaji wake haufiki laki mbili tafta vifaa vyake upige mzigo mwenyewe
 
fumigation mtaji wake haufiki laki mbili tafta vifaa vyake upige mzigo mwenyewe
Kweli aisee ila kumbuka Kna taasisi inaitwa TPRI,( Tropical Pesticides Research Institute ) wapo jengo la rubada pale nyuma ya ubungo plaza, so kusajili shughur ni $100 hpo bdo huna vifaa na nk
 
Kweli aisee ila kumbuka Kna taasisi inaitwa TPRI,( Tropical Pesticides Research Institute ) wapo jengo la rubada pale nyuma ya ubungo plaza, so kusajili shughur ni $100 hpo bdo huna vifaa na nk
You seem to be clever. Ningekuwa boss ningekuajiri. Omba Mungu kesho niamke mfanyabiashara ntakuajiri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…