Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,312
- 1,023
jaman naomba mwenye link ya series hyo hasa kuanzia season 9 anipe
Kuna msela anaitwa Negan ni balaa. Nimoja ya series ambayo ukifuatilia hujutii kupoteza muda kidogo.alivofariki mke wa yule jamaa police nikapoteza interest ya kuangalia
Sent using Jamii Forums mobile app