The Immortal: Yupona Ataendelea Kuwepo.

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
14,738
24,235
Nilimsikiliza mtoto wa baba wa Taifa ambaye ni mkuu wa mkoa wa Rukwa nadhani kuhusu huyu mzee.

Yupo na ataendelea kuwepo.
Binafsi niliwahi kuangalia sinema flani inaitwa SiSU, ile sinema kuna jamaa mle alikuwa mchimbaji wa madini ambaye inaonekana alipikwa hasa na wataalam ukizingatia kwamba issue za madini inasemekana lazima upikwe.

Hivyo yule jamaa hakuwa mtu wa kawaida ila alikuwa asiyeweza kufa kirahisi.

Leo nimemkumbuka huyu mzee Steven Wassira is't!.
20250118_165741.jpg
 
View attachment 3205385
Sijawahi kuona sinema yenye uongo kama ile. Sijui hata kwanini watu waliipenda ina uongo kiwanga cha levek ya juu
 
Sijawahi kuona sinema yenye uongo kama ile. Sijui hata kwanini watu waliipenda ina uongo kiwanga cha levek ya juu
Kweli kuna uongo ila kama ni mfuatiliaji wa hizi sinema na maisha ya kila siku ungeona ule uongo ni wa kweli kutokana na maisha ya kila siku.

Labda nambie angle gani wamekupiga changa kubwa la macho?.
 
Kuishi MAISHA marefu hiyo ni baraka,

Anazo nguvu, hajapoteza kumbukumbu KAZI afanya vizuri.

Hajangangania, wamemtaka wenyewe,

Sasa muda ukifika atatoka au kutolewa.
 
Huyu mzee aliwahi kutabiri kifo cha CHADEMA .Nadhani sasa atatumia muda huu kutekeleza mauaji ya chadema ili nafsi yake ifurahi
 
Back
Top Bottom