The Gods Must be Crazy imepigwa picha Tanzania?

fakhbros

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
383
655
1f13d20e70d005a4ab9257249ce4c6ec.jpg

Katika hii movie ukiitazama kwa umakini inakupa majibu sahihi Juu ya utaifa wako na hali ya uzalendo ulio nao katika moyo wako

Ila usichokifaham katika movie hii ni kwamba ilichezwa nchini Tanzania lakini wengi uamini kuwa ilichezwa Botwasana

Yawezekana wengi katika vijana wa .com hawaijui kitu hii mtanisamehe kwa kumbukizi hii..
 
Iyo ni part 3 mpya imetoka au vip?

Sent from my GT-I9200 using JamiiForums mobile app
 
1f13d20e70d005a4ab9257249ce4c6ec.jpg

Katika hii movie ukiitazama kwa umakini inakupa majibu sahihi Juu ya utaifa wako na hali ya uzalendo ulio nao katika moyo wako

Ila usichokifaham katika movie hii ni kwamba ilichezwa nchini Tanzania lakini wengi uamini kuwa ilichezwa Botwasana

Yawezekana wengi katika vijana wa .com hawaijui kitu hii mtanisamehe kwa kumbukizi hii..
Mkuu imechezwa tanzania kweli? Yani hii franchise ya hizi movies uwa nazipenda hasa ile 1,2 zina mafunzo makubwa.
 
mafunzo gani?
Mfano wakati movie inaanza wanakuonyesha busy city as far as a remember nadhan ni Johanesbergy if not mistaken.
Narator anakwambia as man tries to make life easy by the use of science and technology, he finds himself making it difficult and more complicated.
Yani inshort ni kwamba mfano jinsi teknolojia inavyokua ndivyo maisha yanazidi kuwa magumu.
Hebu fikiri ni vitu vingapi ambavyo kwasasa vinaonekana ni muhimu ambavyo ni vigumu mtu wa mjini kuishi bila kuwa navyo ambavyo miaka ya 80 havikuwepo na watu waliishi tu.
Mfano Tv, simu za mkononi, ving'amuzi, mitandao n.k vyote hivyo ni gharama kununua na ni gharama kuviendesha pia vinakufanya uongeze ratiba yako.
Lakini kwa ma bushmen hawana mambo mengi, hawahitaji hata calender ya kuwambia leo ni monday wala sunday wala sasa hivi ni saa saba.
Anasema kwao any day can be sunday or monday kwakuwa maisha yao ni simple hawapambani against nature ila wana live according to nature.
 
Yule msimuliaji naona alikuwa ni sentimentalist kwenye maisha ya bush tu, ila sio maisha marahisi ukilinganisha na ya sasa, watu kukosa uhakika wa chakula, maji, kufa kwa magonjwa ndi maisha marahisi?
Teknolojia imekuja na complications zake ila imerahisisha maisha mno
Japo maisha ya zamani yana uzuri wake na ninakuwa na miss mno na kutamani nyakati zirudi nyuma, ila siwezi kusema eti ndi marahisi
 
Haijachezwa Tz , Ni reflections zako tu zinazokufanya ujenge hisia hizo

Sent from my Fero_X1 using JamiiForums mobile app
 
in the kalahari everyday is sunday, or tuesday if you like, or thursday.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom