kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,006
- 20,736
Hapa marefa walivunja sheria ya offside ili mradi Simba ipate goli ila Diarra akafanya saveInatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo ni shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi wanayojinasibu ni ya sita bado kuna upuuzi mwingi sana,
Mechi ya leo coastal dhidi ya yanga ndio kituko kwa yule refa wa kati na pembeni
Tunalipa pesa kuangalia mpira sio matokeo yatoke mifukoni kwa hersi na marefa tff kazi kwenu la ndio mnasaidia kuandaa bingwa wa mfukoni mchongo tujulisheni!
Itafungwaje kwa mpango huu hata akitoa mpira mudhathiri wanapewa faida yanga akishika bacca inakuwa faida off side faida inakuwa yanga!Mbumbumbu acheni kulia
Nyie kama mnaweza ifungeni Yanga
Waifunge vipi na refa kapeta tuta 2 za wazi kabisa?Mbumbumbu acheni kulia
Nyie kama mnaweza ifungeni Yanga
Ulifuatilia mpira kwa umakini bado boca aliokamata kuna kona walipewa yanga wakati mpira ulitolewa na mudathiri!Linesman leo na refa wake wamezingua,kuna moves kama mbili hiv za coastal wameziua kwa kuonesha kuwa ni offside na hazikuwa offside
Kulalamika ni ishara ya unyongeItafungwaje kwa mpango huu hata akitoa mpira mudhathiri wanapewa faida yanga akishika bacca inakuwa faida off side faida inakuwa yanga!
Zingatia ushauri wa wazee wa SimbaWaifunge vipi na refa kapeta tuta 2 za wazi kabisa?
Kinachotakiwa ni mpira watu washinde kwa kushindana sio mbeleko fc mpaka aibu bajeti bilioni mnanunua mechi kwa timu zisizo mudu hata mpo mmoja!Kulalamika ni ishara ya unyonge
Ni jambo la aibu kidume kudondosha machozi mtandaoni
Yaani unaona mwenye haki ya kufungwa na Yanga ni Simba pekee, wengine walifungwa mnalia
Coastal anapigwa kilio kinatoka Simba. Tuliwaambia sajilini vizuri nyie mkakimbilia kuzurura Uturuki, haya ndio matokeo yake.Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo ni shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi wanayojinasibu ni ya sita bado kuna upuuzi mwingi sana,
Mechi ya leo coastal dhidi ya yanga ndio kituko kwa yule refa wa kati na pembeni
Tunalipa pesa kuangalia mpira sio matokeo yatoke mifukoni kwa hersi na marefa tff kazi kwenu la ndio mnasaidia kuandaa bingwa wa mfukoni mchongo tujulisheni!
Bahasha Fc wanatuharibia mpira ..Waifunge vipi na refa kapeta tuta 2 za wazi kabisa?
Haya hamia ligi ya IndiaKinachotakiwa ni mpira watu washinde kwa kushindana sio mbeleko fc mpaka aibu bajeti bilioni mnanunua mechi kwa timu zisizo mudu hata mpo mmoja!
Mbumbumbu tutawatoa machoziCoastal anapigwa kilio kinatoka Simba. Tuliwaambia sajilini vizuri nyie mkakimbilia kuzurura Uturuki, haya ndio matokeo yake.
Kwani nyie mlipocheza nao kocha si alimaliza mpira mkiwa mnaenda kufungwa goli la tatu?Ulifuatilia mpira kwa umakini bado boca aliokamata kuna kona walipewa yanga wakati mpira ulitolewa na mudathiri!
Unataka nani awe bingwa?Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo ni shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi wanayojinasibu ni ya sita bado kuna upuuzi mwingi sana,
Mechi ya leo coastal dhidi ya yanga ndio kituko kwa yule refa wa kati na pembeni
Tunalipa pesa kuangalia mpira sio matokeo yatoke mifukoni kwa hersi na marefa tff kazi kwenu la ndio mnasaidia kuandaa bingwa wa mfukoni mchongo tujulisheni!
Kuna mchezaji wa Yanga alishika mpira ndani 18 refa akapeta,ilikuwa tutaLinesman leo na refa wake wamezingua,kuna moves kama mbili hiv za coastal wameziua kwa kuonesha kuwa ni offside na hazikuwa offside