kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,792
- 22,111
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za Yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa Yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi wanayojinasibu ni ya sita bado kuna upuuzi mwingi sana,
Mechi ya leo coastal dhidi ya Yanga ndio kituko kwa yule refa wa kati na pembeni
Tunalipa pesa kuangalia mpira sio matokeo yatoke mifukoni kwa hersi na marefa TFF kazi kwenu la ndio mnasaidia kuandaa bingwa wa mfukoni mchongo tujulisheni!